Not for
Reproduction
www.snapper.com
26
Utatuzi
TATIZO
SABABU YA KUAMINIKA
HATUA YA UTATUZI
Injini Haiwaki kwa
Kutumia Kamba
ya Kuwasha.
1. Tangi la mafuta ni tupu.
1. Jaza tangi la mafuta na mafuta mapya hadi kiasi kinachofaa.
2. Injini inahitaji choki.
2. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini upande wa CHOKI.
3. Waya ya plagi imetenganishwa.
3. Weka waya ya plagi kwenye plagi.
4. Breki ya kuegesha, ubapa au swichi ya kuwasha ina
dosari.
4. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
5. Breki ya kuegesha haijawezeshwa.
5. Weka breki ya kuegesha.
6. Ufunguo wa kuwasha UMEZIMWA.
6. Zungusha swichi ya kuwasha upande wa ENDESHA.
Injini Haiwaki kwa
Kutumia Kiwashaji
cha Umeme.
1. Tangi la mafuta ni tupu.
1. Jaza tangi la mafuta na mafuta mapya hadi kiasi kinachofaa.
2. Injini inahitaji choki.
2. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini upande wa CHOKI.
3. Waya ya plagi imetenganishwa.
3. Weka waya ya plagi kwenye plagi.
4. Breki ya kuegesha, ubapa au swichi ya kuwasha ina
dosari.
4. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
5. Breki ya kuegesha haijawezeshwa.
5. Weka breki ya kuegesha.
6. Fuzi Imeungua.
6. Badilisha na fuzi mpya ya 20 AMP.
7. Mfumo wa kuunganisho una dosari.
7. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
8. Ufunguo wa kuwasha UMEZIMWA.
8. Zungusha swichi ya kuwasha upande wa KUWASHA.
9. Betri ina chaji kidogo au haina chaji kabisa.
9. Chaji au badilisha na betri mpya.
10. Kebo za betri zimelegea, kukatika, kutenganishwa au
zimechakaa.
10. Safisha na uunganishe kebo za betri. Ikiwa zimekatika, badilisha
na kebo mpya za betri.
11. Kiwashaji cha umeme au kiwashaji cha solenoidi kina
dosari.
11. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
12. Kebo ya kiwashaji imelegea, kukatika au
imetanganishwa.
12. Unganisha kebo ya kiwashaji. Ikiwa imekatika, badilisha na kebo
mpya ya betri.
13. Nyaya za umeme za kuunganisha zimetenganisha au
kukatika.
13. Unganisha au badilisha na nyaya mpya za kuunganisha.
Injini Inakwama
Baada ya
Kuwashwa.
1. Mwendeshaji hajakalia kiti.
1. Keti kwenye kiti cha mwendeshaji.
2. Kidhibiti cha kasi ya injini kikiwa upande wa CHOKI.
2. Sogeza kidhibiti cha kasi ya injini upande wa HARAKA.
3. Tangi la mafuta ni tupu.
3. Jaza tangi la mafuta na mafuta mapya hadi kiasi kinachofaa.
4. Kisafishaji kabla cha injini na au kisafisha hewa ni kichafu. 4. Safisha uondoe vifusi vyote.
5. Plagi ni mbaya au mwanya haujawekwa ipasavyo.
5. Tengeneza plagi.
6. Kichujio cha mafuta kimezuiwa.
6. Badilisha kichujio cha mafuta.
7. Maji, vifusi au mafuta yaliyochacha katika mfumo wa
mafuta.
7. Mwaga na usafishe mfumo wa mafuta.
Injini Inakosa
Nguvu.
1. Uzito kupita kiasi kwenye injini.
1. Punguza uzito.
2. Kisafishaji kabla cha injini au kisafisha hewa ni kichafu.
2. Safisha au badilisha vichujio.
3. Plagi ni mbaya.
3. Tengeneza plagi.
4. Maji, vifusi au mafuta yaliyochacha katika mfumo wa
mafuta.
4. Mwaga na usafishe mfumo wa mafuta. Badilisha kichujio.
5. Mkusanyiko wa vifusi katika skrini ya kupoza injni.
5. Safisha uondoe vifusi vyote kutoka kwa skrini ya kipoza injini.
Injini Inakataa
Wakati Imewekwa
kwa "ZIMA".
1. Kidhibiti cha kasi ya injini imewekwa kwa HARAKA
1. Weka kidhibiti cha kasi ya injini kwa POLEPOLE na uruhusu injini
itulie. Kisha, weka ufunguo kwa "ZIMA".
Mtetemeko
Kupindukia.
1. Bapa zilizoharibika, zisizo sawa au zilizokunjana za
mashine ya kukatia nyasi .
1. Karabati bapa za mashine ya kukatia nyasi.
2. Vipuri legevu vya bapa.
2. Karabati na kaza vipuri vilivyolegea
3. Kiinuaji hewani kimelegea au kinakosekana (ikiwa kipo) 3. Badilisha viinuaji hewani. Kaza kwa msongonyo sahihi
4. Mkanda uliolegea au uliochakaa.
4. Badilisha mkanda. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
5. Paki au kizungushaji kilichokungana au kisichosonga
5. Badilisha paki. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...