Not for
Reproduction
21
sw
2. Kuondoa kichujio
(C, Picha ya 23)
, inua mwisho wa
kichujio na kisha uondoe kichujio kutoka sehem yake
(D)
.
3. Ondoa kisafisha cha kabla
(E, Picha ya 23)
, ikiwa inayo,
kutoka kwa kichujio.
4. Kulegeza vifusi, gongesha kichujio polepole kwenye
eneo gumu. Ikiwa kichujio ni kichafu zaidi, kibadilishe
na kichujio kipya.
5. Osha kisafishaji cha kabla katika sabuni ya maji na
maji. Kisha kiwache kikauke kabisa kwenye hewa.
Usipake mafuta kwenye kisafishaji cha kabla.
6 Funga kisafisha cha kabla kwenye kichujio.
7. Funga kichujio kwenye sehemu yake. Sukuma
mwisho wa kichujio katika sehemu ya chini kama
inavyoonyeshwa. Hakikisha kichujio kimeingia vizuri
katika sehemu ya chini.
8. Funga kifuniko cha kichujio na ufunge vishikizo.
Matengenezo ya Kiendeshi
ONYO
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
!
!
Kagua Bapa za Mashine ya Kukatia Nyasi
1. Fuata taarifa ya ONYO inayopatikana kwenye ukurasa huu.
2. Kagua kiwango cha mafuta kwenye tangi. Ikiwa kimejaa 3/4,
ondoa tangi. Rejelea "Kuondoa Tangi la Mafuta". Ikiwa kiko
3/4 au chini, endelea na hatua inayofuata.
3. Kwa makini simamisha Kiendeshaji Injini ya Nyuma kwenye
bampa ya nyuma.
HATARI
Ondoa betri ikiwa Kiendeshaji cha Injini ya Nyuma kitasalia
kimesimama kwenye bampa ya nyuma kwa zaidi ya saa 2.
Rejelea "Uondoaji wa Betri". USITUMIE ubapa wa kukatia
nyasi unaoonyesha dalili za uchakaaji au uharibikaji wa
kupindukia kwenye Kiendeshaji cha Injini ya Nyuma. Rejelea
"Ubadilishaji Bapa za Mashine ya Ukataji Nyasi" kwa ukaguzi
sahihi wa bapa na taratibu za huduma.
!
!
4. Kagua msongonyo wa bolti za kushikilia ubapa
(A,
Picha ya 24)
. Inavyohitajika, msongonyo wa 30 hadi 40
ft. lbs.
5. Kagua makali ya ubapa, uchakaaji na uharibikaji. Rejelea
"Vikomo vya Kuchakaa kwa Bapa".
6. Kagua ubapa kwa unyoofu. Rejelea "Kurekebisha Ubapa wa
Mashine ya Kukatia Nyasi".
Breki za Ubapa
ONYO
Taratibu ifuatayo inahitaji injini na bapa kuendeshwa. Kuwa
makini kabisa. Safisha sehemu & zana legevu kwanza. Endesha
bapa tu ukiwa umeketi katika kiti cha mwendeshaji.
!
!
1. Kagua breki za ubapa kama zinafanya kazi ipasavyo. Ubapa
unafaa kuwacha kuzunguka ndani ya sekunde 3 au chache
baada ya kusogeza kidhibiti cha ubapa upande wa ZIMA.
ONYO
Baada ya kulemaza ubapa, unafaa usimame ndani ya sekunde
3 au chache. Ikiwa ubapa utaendelea kuzunguka baada ya
sekunde 3, badi breki ya ubapa inafaa irekebishwe. Rudisha
mashine kwa muuzaji aliyeidhinishwa kuwa urekebishaji.
USIENDELEE kuendesha mashine hadi breki ya ubapa
irekebishwe na ifanye kazi ipasavyo.
!
!
2. Ikiwa ubapa utaendelea kuzunguka baada ya sekunde
3, usiendeshe mashine. Wasiliana na muuzaji wako kwa
usaidizi.
Kukarabati Breki / Breki ya Kuegesha
1. Kagua breki za mashine kama zinafanya kazi ipasavyo:
• Weka breki za kuegesha, na usukume mashine. Tairi za
nyuma zinafaa ziteleze.
• Endesha mashine mbele na uweke breki.
Mashine inafaa isimame chini ya futi 5.
2. Ikiwa breki hazifanyi kazi vizuri, urekebishaji wa breki lazima
ukamilishwe kabla ya kutumia mashine. Wasiliana na
muuzaji wako aliyeidhinishwa.
Ukaguzi wa Usalama wa Mfumo wa
Kuunganisha
Tekeleza mara kwa mara ukaguzi ufuatao wa mfumo wa
kuunganisha wakati wa msimu wa kutumia. Wasiliana na muuzaji
wako aliyeidhinishwa wa Snapper ikiwa una maswali.
ONYO
USIENDESHE mashine ikiwa intaloki yoyote ya usalama au
kufaa chochote cha usalama hakiko mahali pake na hakifanyi
kazi ipasavyo. USIJARIBU kupambana, kubadilisha au
kuondoa kifaa chochote cha usalama.
!
!
Injini
haifai
kuwaka ikiwa:
1. Pedali ya Klachi/Breki haijabonyezwa hadi mwisho AU,
2. Kidhibiti Bapa KIMEWASHWA (bapa zimewezeshwa).
Injini
inafaa
kuwaka ikiwa:
1. Kidhibiti Bapa KIMEZIMWA (bapa zimelemazwa) NA,
2. Padeli ya Klachi/Breki imekanyagwa kabisa.
Lazima injini na bapa
zisimame
ikiwa:
1. Mwendeshaji atainuka kwenye kiti Kidhibiti Bapa kikiwa
katika mkao wa "KIMEWASHWA" (bapa zimewezeshwa) au
2. Mwendeshaji ataondoka kwenye kiti Pedali ya Klachi/Breki
ikiwa haijakanyagwa kabisa.
Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma
Kagua utendakazi wa Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma injini
ikiwa imezimwa.
1. Kanyaga na ushikilie pedali za bapa.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...