Not for
Reproduction
www.snapper.com
28
SERA YA UDHAMINI KWA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON
Januari 2014
UDHAMINI PUNGUFU
Briggs & Stratton inadhamini kwamba, wakati wa kipindi cha dhamana kilichotajwa hapo chini, itakarabati au kubadilisha, bila ya malipo, kiungo chochote ambacho
chenye dosari katika vyenzo au ustadi au vyote viwili. Gharama za usafirishaji kwa bidhaa inayotumwa kwa ukarabati au ubadilishaji chini ya dhamana hii lazima itolewe
na mnunuzi. Dhamana hii ni yenye kufanya kazi kwa na inahusika na vipindi vya wakati na masharti vilivyotajwa hapo chini. Kwa huduma ya dhamana, tafuta Muuzaji
wa Huduma Aliyeidhinishwa na aliye karibu zaidi katika ramani yetu ya kuelekeza wauzaji katika www.Snapper.com. Mnunuzi lazima awasiliane na Muuzaji Huduma
Aliyeidhinishwa, na kisha kuwasilisha bidhaa hiokwa Muuzaji wa Huduma Aliyeidhinishwa kwa uchunguzi na majaribio.
Hakuna dhamana nyingine ya haraka. Dhamana zilizotajwa, ikiwa ni pamoja na zile za kufanyia biashara na umadhubuti kwa lengo
maalum, zina
kikomo cha kipindi cha dhamana kilichoorodheshwa hapo chini, au kwa muda unaoruhusiwa na sheria.
Dhima ya uharibifu ambao si wa lazima au
unaoambatana umetolewa kwa kipindi utolewaji unaporuhusiwa na sheria.
Baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu vikomo kuhusu muda gani dhamana iliyotajwa
huisha, na baadhi ya majimbo au nchi haziruhusu otelewaji au kikomo cha uharibifu ambao si walazima au unaoambatana, kwa hio kikomo na utolewaji wa hapo juu
huenda visihusike kwako. Dhamana hii inakupa haki maalum za kisheria na unaweza pia kupata haki nyingine ambazo hutofautiana kutoka jimbo hadi jimbo au nchi
hadi nchi.
**
MUDA WA DHAMANA
*
Nyenzo zinazojitokeza hudhaminiwa na Tamko la Dhamana ya Utokezaji.
**
Nchini Australia - Bidhaa zetu huja pamoja na dhamana ambazo haziwezi kutolewa chini ya Sheria ya Australia ya watumizi. Unastahiki kubadilishiwa au kurudishiwa
pesa kwa kasoro kubwa na fidia kwa hasara au uharbifu wowote wa kweli utakaojitokeza mbeleni. Pia unastahiki kurekebishiwa bidhaa au kubadilishiwa ikiwa bidhaa hizo
zinashindwa kuwa katika ubora wa kukubalika na kasoro haifikii kasoro kubwa kabisa. Kwa huduma ya dhamana, tafuta Muuzaji wa Huduma Aliyeidhinishwa wa karibu
zaidi katika ramani yetu ya kielekeza wauzaji katika BRIGGSandSTRATTON.COM, au kwa kupiga simu namba 1300 274 447, au kwa kutuma barua pepe salesenquires@
briggsandstratton.com.au, Briggs & Stratton Australia Pty Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi cha dhamana huanza katika tarehe ya ununuzi na uchuuzaji wa kwanza au mtumiaji wa kibiashara. “Matumizi ya mtumiaji” inamaanisha matumizi ya kibinafsi
nyumbani kifamilia na mtumiaji wa rejareja. “Matumizi ya kibiashara” inamaanisha matumizi mingine yote, ikiwa ni pamoja na matumizi ya kibiashara, uzalishaji wa kipato
au malengo ya kukodisha. Mara tu bidhaa ikipitia matumizi ya kibiashara, hivyo baada ya hapo itazingatiwa kuwa kama bidhaa ya matumizi ya kibiashara kwa malengo ya
dhamana hii.
Kwa kuhakikisha bima ya dhamana ya haraka na kamilifu, sajili bidhaa yako katika tovuti inayoonekana hapo juu au katika www.onlineproductregistration.com, au tuma
kwa barua kadi ya usajili iliyojazwa (ikiwa imetolewa), au piga simu namba 1-800-743-4115 (nchini Marekani).
Hifadhi ushahidi wako wa risiti ya kununuaia. Ikiwa hutatoa ushahidi wa tarehe ya awali ya ununuzi katika wakati ambao huduma ya dhamana imetakiwa, tarehe ya
utengezaji wa bidhaa hio itatumika kuamua kipindi cha dhamana. Usajili wa bidhaa hautakikani ili kupata huduma ya dhamana katika bidhaa za Briggs & Stratton.
MAELEZO KUHUSU DHAMANA YAKO
Huduma ya dhamana inapatikana tu kupitia Snapper Wauzaji wa Huduma Walioidhinishwa. Kukarabati kwa bidhaa zilizo na dhamana hufanywa mara kwa mara, lakini
wakati mwingine maombi ya huduma za dhamana hayafai. Dhamana hii inajumuisha tu dosari katika nyenzo au ustadi. Haujumuishi hasara iliyosababishwa na matumizi
yasiyofaa au mabaya, ukarabati mbaya au urekebishaji, uchakaaji wa kawaida na uchanikaji, au kuchacha au mafuta yasiyothibitishwa .
Matumizi Yasiyostahili na Yaliyo Mabaya
- Matumizi sahihi, yaliyokusudiwa ya bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa Mwendeshaji. Kutumia bidhaa katika njia
ambayo haikuelezwa katika Mwongozo wa Mwendeshaji au kutumia bidhaa baada ya kuwa imeharibika hakuta jumuishwa chini ya dhamana hii. Bima ya dhamana pia
haitatolewa ikiwa nambari ya mfululizo katika bidhaa imeondolewa au bidhaa hio imevunjwa au kubadilishwa kwa njia yoyote, au ikiwa bidhaa hio ina dalili ya matumizi
mabaya kama vile uharibifu wa athari ya hasara ya uharibifu wa maji/kemikali.
Ukarabati Usiosahihi au Usiorekebisha
- Bidhaa hii sharti ikarabatiwe kulingana na hatua na ratiba zilizotolewa katika Mwongozo wa Mwendeshaji, na kuhudumiwa
au kukaranatiwa kwa kutimia vifaa halali vya Briggs & Stratton au vinavyolingana nazo.
Uharibifu ulisababishwa na ukosefu wa ukarabati wa kutosha au matumizi ya vifaa
visiovyokuwa vya asili hakudhaminiwi na dhamana.
Uchakaaji wa Kawaida na Uchanikaji
- Kama vifaa vingi vya mashine, kifaa chako kinawajibika kuchakaa na kuchanika hata kama hukarabatiwa vizuri. Dhamana hii
haidhamini urekebishaji wakati wa matumizi ya kawaida yamezeesha kabisa muda wa kiungo au vifaa. Ukarabati na vipengele vya kuchakaa kama vile vichujio, mikanda,
mabapa ya kukatia, na pedi za breki (ispokuwa pedi za breki ya injini) havidhaminiwi na dhamana kutokana na tabia yake ya kuchakaa vyenyewe, ispokuwa chanzo
kikisababishwa na dosari katika nyenzo au ustadi.
Mafuta Yaliyochacha au Yasiyothibitishwa
- Ili kufanyakazi vizuri, bidhaa hii inahitaji mafuta safi ambayo hufuata vigezo vilivyotajwa katika Mwongozo wa Mwendeshaji.
Uharibifu wa Injini au vifaa uliosababishwa na mafuta yaliyochacha au matumizi ya mafuta yasiyothibitishwa (kama vile mchanganyiko wa ethanol za E15 au E85)
haudhaminiwi na dhamana.
Uondolewaji Mwingine -
Dhamana hii inaondoa uharibifu uliotokana na ajali, matumizi mabaya, marekebisho, huduma isiyo sahihi, ugandaji au uharibifu wa kemikali.
Viambatanishi au vifuasi ambavyo havikuchuliwa kwa asili na bidhaa hio pia vimetolewa. Hakuna bima ya dhamana juu ya vifaa vinavyotumwa kwa nishati ya msingi
kuwepo fa nishati ya matumizi au kifaa kinachotumika katika programu za kuokoa maisha. Dhamana hii haijumuishi kifaa kilichotumika, kununuliwa mara ya pili,
kutengenezwa upya, au cha maonyesho au injini. Dhamana hii pia haijumuishi ushindwaji unaotokana na nguvu za Mungu na nguvu nyingine matukio makubwa kinyume
na udhibiti wa mtengenezaji.
80009929_SW Rev -
Kipengee
Matumizi ya Mtumiaji
Matumizi ya Biashara
Vifaa
Miezi 36
Miezi 3
Injini*
Miezi 24
Miezi 3
Betri (ikiwa imetayarishwa)
Miezi 12
Miezi 12
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...