Not for
Reproduction
www.snapper.com
16
Halijoto ya nje huathiri mnato unaofaa wa oili kwa injini. Tumia
chati kuchagua mnato bora kwa masafa ya halijoto ya nje
inayotarajiwa.
Sanisi 5W
-30
* Chini ya 40°F (4°C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha uwashaji wa
shida.
** Zaidi ya 80°F (27°C) matumizi ya 10W-30 huenda yakasababisha
matumizi zaidi ya oili. Angalia kiwango cha oili mara kwa mara.
Jinsi ya Kuangalia/Kuongeza Oili
Kabla ya kuongeza au kuangalia oili
• Weka injini mahali tambarare.
• Ondoa vifusi vyovyote kutoka eneo la tangi la oili.
1 Ondoa kijiti cha kupimia oili
(A, Picha 2)
na ukipanguze
ukitumia kitambaa kisafi.
2 Ingiza na ukaze kijiti cha kupimia oili.
3 Ondoa kijiti cha kupimia oili na uangalie kiwango cha
oili. Kinafaa kiwe juu ya indiketa nzima
(B, Picha 2)
kwenye kijiti cha kupimia oili.
4 Ikiwa kiko chini, ongeza oili pole pole ndani ya tangi
la oili ya injini
(C, Picha 2)
.
Usijaze kupita kiasi.
Baada
ya kuongeza oili, subiri dakika moja na kisha uangalie
kiwango cha oili tena.
5. Regesha na ukaze kijiti cha kupimia oili.
Mapendekezo ya Mafuta
Lazima mafuta yatimize mahitaji haya:
• Petroli safi, mpya, isiyo na ledi.
• Oktani ya kiwango cha chini cha 87/87 AKI (91 RON).
Matumizi ya mwinuko wa juu, angalia hapa chini.
• Petroli iliyo na ethanoli ya 10% (gesiholi) inakubalika.
TAHADHARI:
Usitumie petroli ambazo hazijaidhinishwa,
kama vile E15 na E85. Usichanganye oili katika petroli
au kubadilisha injini ili itumie mafuta mbadala. Ukitumia
mafuta ambayo hayajaidhinishwa kutaharibu vijenzi vya
injini na
kubatilisha waranti ya injini
.
Ili kulinda mfumo wa mauta kutokana na utokeaji wa gundi,
changanya kisawazisha mafuta katika mafuta. Rejelea
"Uwekaji". Mafuta yote ni tofauti. Ikiwa utakumbana na
matatizo ya kuwasha au utendaji, badilisha wauza mafuta
au badilisha chapa. Injini hii imeidhinishwa kuendeshwa na
petroli. Mfumo wa udhibiti utoaji moshi wa injini hii ni EM
(Marekebisho ya Injini)
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko zaidi ya fiti 5,000 (mita 1,524), kiwango cha chini
cha oktani ya 85//85 AKI (89 RON) cha petroli kinakubalika. Ili
uendelee kutii utoaji moshi, marekebisho ya mwinuko wa juu
yanahitajika. Uendeshaji bila urekebishaji huu utasababisha
kupungua kwa utendaji, kuongezeka kwa matumizi ya mafuta,
na kuongezeka kwa utoaji ekzosi. Wasiliana na Muuzaji wa
Ukarabati Aliyeidhinishwa wa Briggs & Stratton kwa maelezo
kuhusu urekebishaji wa mwinuko wa juu.
Uwashaji wa injini katika miinuko chini ya fiti 2,500 (mita 762)
ikiwa na kifaa cha mwinuko wa juu haupendekezwe.
Jinsi ya Kuongeza Mafuta
ONYO
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto haraka sana
na kulipuka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya
moto au kifo.
Wakati wa Kuongeza Mafuta
• Zima injini na uwache injini ipoe kwa angalau dakika 5
kabla ya kuondoa kifuniko cha mafuta.
• Jaza tangi la mafuta nje au katika eneo linaloingia hewa
vizuri.
• Usijaze tangi la mafuza kupindukia. Ili kuruhusu uvukizi
wa mafuta, usijaze zaidi ya chini mwa shingo ya tangi la
mafuta.
• Weka mafuta mbali na cheche za moto, mwako wa moto,
taa ya kibatali, na nyenzo zingine za mwako.
• Kagua laini za mafuta, tangi, kifuniko, na vipuri mara
kwa mara kama kuna nyufa au uvujaji. Badilisha ikiwa
inahitajika.
• Ikiwa mafuta yamemwagika, subiri hadi yakauke kabla ya
kuwasha injini.
!
!
1. Safisha uchafu na vifusi kutoka eneo la kifuniko cha
mafuta. Ondoa kifuniko cha mafuta
(A, Picha ya 3)
.
2. Jaza tangi la mafuta. Ili kuruhusu uvukizi wa mafuta,
usijaze zaidi ya chini mwa shingo ya tangi la mafut
(B,
Picha ya 3)
.
3. Funga kifuniko cha mafuta. Hakikisha tundu la
(C,
Picha ya 3)
limefunguliwa baada ya kuweka mafuta
tena.
Usogezaji wa Kiti cha Mwendeshaji
1. Injini ikiwa imezimwa, legeza vifundo viwili vya
kutoshanisha
(A, Picha ya 4)
na usogeze kiti
unavyotaka. Baada ya kutoshanisha, kaza vifundo
vizuri.
KUMBUKA: Ikiwa kiti hakisongei baada ya kufungua vifundo,
huenda ikahitajika ufungue skrubu au nati za pembe sita za
kufunga za 5/16"
(B, Picha ya 4)
zilizo nyuma ya kiti.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...