Not for
Reproduction
17
sw
Kuwasha Injini
ONYO
HATARI YA GEZI ZA SUMU. Ekzosi ya injni huwa na monksidi ya
monoksidi ya kaboni, gesi ya sumu inayoweza kukuua ndani ya
dakika chache. HUWEZI kuona, kuinusa, au kuionja. Hata kama
hunusi moshi wa kezosi, bado unaweza kuwa hatarini mwa
gezi ya monoksidi ya kaboni. Ukianza kuhisi ukiwa mojngwa,
kizunguzungu, au kukosa nguvu wakati unatumia kifaa hiki, kizime
na upate hewa safi MARA MOJA. Mtembelee daktari. Huenda ukuwa
umeathiriwa na monoksidi ya kaboni.
• Endesha kifaa hiki nje PEKE YAKE mbali na madirisha, milango na matundu
ili kupunguza hatari ya gesi ya monoksidi ya kaboni kukusanyika na kuenda
maeneo yenye watu.
• Weka ving'ora vya betri vya monoksidi ya kaboni au weka ving'ora vya betri
vya monoksidi ya kaboni kulingana na maelekezo ya mtengenezaji. Ving'ora
vya moshi haviwezi kutambua gesi ya monoksidi ya kaboni.
• USIENDESHE kifaa hiki ndani ya nyumba, garaji, sehemu ya nyumba
iliyo chini ya ardhi, mahali pa kutambaa, vibanda, au maeneo mengine
yaliyofunikwa kiasi hata kama unatumia feni au milango na madirisha
yamefunguliwa kwa uingizaji hewa. Monoksidi ya kaboni inaweza kukusanyika
haraka katika maeneo haya na ibakie kwa saa kadhaa, hata baada ya kifaa
hiki kuzimwa.
• Weka kifaa hiki upande upepo unatoka WAKATI WOTE na ulenge ekzosi
mbali na maeneo yenye watu.
Uwashaji wa Kielektroniki
MUHIMU:
Wakati ufunguo wa kuwasha umezungushwa
upande wa "KUWASHA", injini itazunguka, lakini haitawaka
ila pedali ya Klachi/Breki ikanyagwe kabisa na Kidhibiti
cha Ubapa "KIMEZIMWA". Mwendeshaji anastahili kuwa
ameketi chini.
Washa injini ifuatavyo:
1. Fungua tundu
(B, Picha ya 3)
kwenye kifuniko cha
kujaza mafuta
(A)
kwa kupindua kinyume saa.
MUHIMU:
Kutofungua tundu kwenye kifuniko cha kujaza
mafuta kunaweza kusababisha injini kukwama.
2. Sogeza Wenzo wa Kubadilisha Gia upande wa Gia Huru
('N'). Rejelea "Uendeshaji wa Magurudumu".
MUHIMU:
USIWASHE injini Wenzo wa kubadilisha gia
ukiwa upande wa endesha.
ONYO
Inawezekana kuwasha injini Wenzo wa kubadilisha gia ukiwa
upande wa endesha. Fuata maelekezo ya kuwasha kwa
uangalifu.
!
!
3. Hakikisha Wenzo wa Ubapa
(A, Picha ya 5)
uko katika
mkao wa "IMEZIMWA".
4. Kanyaga kabisa Pedali ya Klachi/Breki
(A, Picha ya 6)
na ushikilie unapokuwa ukiwasha injini..
5. Sogeza kidhibiti cha kasi
(A, Picha ya 7)
kwenye mkao
wa kuzuia
(B)
ili uwashe injini baridi.
6. Zungusha ufunguo
(A, Picha ya 8)
upande wa
"KUWASHA" hadi injini iwake.
KUMBUKA: Ikiwa baada ya sekunde 5 za kuwasha injini
haitaanza, wachilia ufunguo, hakikisha Padeli ya Klachi/Breki
imebonyezwa kabisa, na ujaribu kuwasha tena baada ya kusubiri
takriban sekunde 20.
7. Baada ya injini kuwaka, sogeza kidhibiti kasi ya injini upande
wa "KASI" na uruhusu ipate joto kwa muda mfupi hadi injini
ianze kuguruma vizuri.
8. Ikiwa betri halitakuwa na nguvu ya kutosha kuanzisha injini,
rejelea "Injini (Kuwasha kwa Mkono)" ili uanzishe injini za
kielektroniki kwa mkono.
9. Kwenye Modeli E2813523BVE, injini huwa na solenoidi ya
kuzima mafuta. Ikiwa betri halina nguvu yoyote, injini inaweza
kuwashwa na kianzishi chelezo cha kamba ikiwa kidhibiti
kasi ya injini kiko katika mkao wa choki (injini MOTO au injini
BARIDI).
Kuwasha kwa Mkono
MUHIMU:
Wakati ufunguo umezungushwa upande wa
"KUWASHA", na mkono wa kamba umevutwa, injini
itazunguka, lakini haitawaka ila pedali ya Klachi/Breki
ikanyagwe kabisa Breki ya Kuegeshwa ikiwa imewekwa, na
Kidhibiti cha Ubapa "KIMEZIMWA".
Washa injini ifuatavyo:
1. Fungua tundu
(B, Picha ya 3)
kwenye kifuniko cha
kujaza mafuta
(A)
kwa kupindua kinyume saa.
MUHIMU:
Kutofungua tundu kwenye kifuniko cha kujaza
mafuta kunaweza kusababisha injini kukwama.
2. Sogeza Wenzo wa Kubadilisha Gia upande wa Gia
Huru ('N'). Rejelea sehemu inayoitwa "Uendeshaji wa
Magurudumu".
MUHIMU:
USIWASHE injini Wenzo wa kubadilisha gia
ukiwa upande wa endesha.
ONYO
Inawezekana kuwasha injini Wenzo wa kubadilisha gia ukiwa
upande wa endesha. Fuata maelekezo ya kuwasha kwa
uangalifu.
!
!
3. Hakikisha Wenzo wa Ubapa
(A, Picha ya 5)
uko katika
mkao wa "IMEZIMWA".
4. Kanyaga Pedali ya Klachi/Breki
(A, Picha ya 9)
hadi chini, sogeza lachi ya breki ya kuegesha
(B)
,
na uachilie pedali ya klachi/breki ili uweke breki ya
kuegesha.
5. Sogeza kidhibiti cha kasi
(A, Picha ya 7)
kwenye mkao
wa kuzuia
(B)
ili uwashe injini baridi.
6. Weka ufunguo
(A, Picha ya 10)
katika mkao wa
"IMEWASHWA".
7. Vuta kamba ya kuwasha, iliyo kwenye kamba ya injini,
kwa mwendo laini na wa pamoja hadi injini iwake.
KUMBUKA: Daima elekeza kamba ya kuanzisha kwenye kasha la
kamba. Usiruhusu kamba kurudi kwa haraka.
Baada ya injini kuanza, sogeza kidhibiti cha kasi ya injini
kwenye sehemu ya "HARAKA".
8. Ruhusu ipate joto kwa ufupi hadi injini iendeshwe kwa
urahisi.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...