Not for
Reproduction
www.snapper.com
22
2. Kanyaga na ushikilie pedali ya klachi/breki.
3. Hatua ya 1 na ya 2 zikiwa zimetekelezwa, Wenzo wa
kubadilisha gia haupaswi kurudi nyuma.
ONYO
USITUMIE mashine ikiwa Mtambo wa Kuzuia Kurudi Nyuma
haufanyi kazi vizuri. Wasiliana na muuzaji aliyeidhinishwa kwa
usaidizi mara moja.
!
!
Matengenezo ya Betri
Tekeleza matengezo ya betri kama inavyohitajika. Rejelea "Betri".
Usawazishaji wa Deki ya Mashine ya Kukatia
Nyasi
Kagua deki ya mashine ya kukatia nyasi kwa usawazishaji
unaofaa. Rekebisha kama inahitajika. Rejelea 'Urekebishaji Deki
ya Mashine ya Kukatia Nyasi - Usawazishaji".
Safisha Deki ya Mashine ya Kukatia Nyasi
ONYO
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
!
!
1. Kagua kiwango cha mafuta kwenye tangi. Ikiwa kimejaa 3/4,
ondoa tangi. Rejelea "Kuondoa Tangi la Mafuta". Ikiwa kiko
3/4 au chini, endelea na hatua inayofuata.
2. Kwa makini simamisha Kiendeshaji Injini ya Nyuma kwenye
bampa ya nyuma.
3. Safisha upande wa chini wa deki mashine ya kukatia nyasi,
ukiondoa vipande vyote vya nyasi na vifusi vilivyokusanyika.
4. Safisha upande wa juu wa deki, ukiondoa vipande vyote vya
nyasi na vifusi.
Kichujio cha Mafuta
MUHIMU:
Karabati kichujio cha mafuta INJINI IKIWA
BARIDI TU!
MUHIMU:
Ili kukomesha mtiririko wa mafuta, tangi la mafuta
(C, Picha ya 25)
inaweza kuondolewa kwenye mabano na
kuwekwa sakafuni ili kiwango cha mafuta kiwa chini ya
kichujio. Rejelea "Kuondoa Tangi la Mafuta".
1. Ondoa klempu za mpira wa maji
(B, Picha ya 25)
kutoka kichujio cha mafuta
(A)
.
2. Ondoa laini za mafuta kutoka kwa kichujio. Tupa kichujio.
3. Funga kichujio kipya cha mafuta.
4. Rudisha tangi la mafuta kwenye mabano (ikiwa ilikuwa
imeondolewa).
5. Kwa makini rudisha klempu za mafuta.
6. Kagua kama mfumo wa mafuta unavuja.
Ulainishaji - Uwekaji Grisi
Vipengee vifuatavyo vilivyo kwenye Kiendeshi cha Injini ya
Nyuma vina vipuri vya grisi na vinahitaji ulainishaji wa mara kwa
mara. Paka grisi ya matumizi ya jumla (NLGI Na. 2) ukitumia
bunduki ya grisi.
1. Mkono wa Kuzungusha Ubapa wa Mashine
ya Kukatia Nyasi
1. Fuata taarifa ya ONYO inayopatikana kwenye ukurasa
huu.
2. Kagua kiwango cha mafuta kwenye tangi. Ikiwa
kimejaa 3/4, ondoa tangi. Rejelea "Kuondoa Tangi
la Mafuta". Ikiwa kiko 3/4 au chini, endelea na hatua
inayofuata.
3. Kwa makini simamisha Kiendeshaji Injini ya Nyuma
kwenye bampa ya nyuma.
4. Lainisha kipuri cha grisi cha mkono wa kubadilisha gia
(A, Picha ya 26)
na shuti mbili za grisi ya matumizi ya
jumla kutoka kwa bunduki ya grisi.
KUMBUKA: Baadhi ya modeli zina vifaa vya gololi vilivyofunikwa,
ambavyo havihitaji ulainishaji.
MUHIMU:
Ikiwa Kiendeshi cha Injini ya Nyuma kitakuwa
kwenye bampa yake ya nyuma kwa muda unaozidi saa
mbili, ondoa betri. Rejelea "Uondoaji wa Betri".
2. Gololi ya Gurudumu la Mbele
Lainisha kipuri cha grisi cha gurudumu la mbele
(A, Picha
ya 27)
na shuti tano za grisi ya matumizi ya jumla, kutoka
kwa bunduki ya grisi.
3. Wenzo wa Kubadilisha Gia
Lainisha kipuri cha grisi cha Wenzo wa kubadilisha gia
(A,
Picha ya 28)
na shuti mbili za grisi ya matumizi ya jumla
kutoka kwa bunduki ya grisi.
4. Gololi ya Ekseli ya Nyuma
1. Kipuri cha grisi
(A, Picha ya 29)
kwenye gololi ya
ekseli ya nyuma kushoto huhitaji shuti tatu za grisi ya
matumizi ya jumla kutoka kwa bunduki ya grisi.
2. Gololi ya ekseli ya nyuma kulia inalainishwa na mafuta
ya kulainisha difrensha na haihitaji grisi.
Ulainishaji - Kiungo cha deki ya Mashine ya
Kukatia Nyasi
Lainisha maeneo yote ya kuunganisha deki ya mashine ya
kukatia nyasi kwa mpako kiasi wa mafuta ya gari.
Ulainishaji - Kasha la Difrensha / Nyororo
1. Simamisha kiendeshi cha injini ya nyuma kwenye
bampa ya nyuma na ukague plagi ya kujaza/kiwango
(A, Picha ya 30)
kwenye difrensha
(B)
kwa dosari au
upasukaji wowote. Badilisha plagi ya kujaza/kiwango
ikiwa kuna ishara za kuchakaa zinazoonekana.
MUHIMU:
Ikiwa Kiendeshi cha Injini ya Nyuma kitakuwa
kwenye bampa yake ya nyuma kwa muda unaozidi saa
mbili, ondoa betri. Rejelea "Uondoaji wa Betri".
2. Ili kukagua ulainishaji, ondoa plagi ya kujaza/kiwango na
ukague kwa macho sehemu za ndani za difrensha. Ikiwa
hakuna ulainishaji unaoonekana kwenye sehemu za ndani za
difrensha, ongeza grisi ya gia kama inavyohitajika.
MUHIMU:
Kujaza difrensha kupita kiasi kwa mafuta
kutasababisha ulainishaji wa mafuta kuvuja kwenye vijenzi
vya uendeshaji vya Kiendeshi cha Injini ya Nyuma.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...