Not for
Reproduction
www.snapper.com
20
INJINI
Saa 5 za Kwanza
Badilisha oili ya injini
Kila Saa 8 au Kila Siku
Kagua kiwango cha oili ya injini
Kila Saa 25 au Kila Mwaka *
Safisha kichujio cha hewa ya injini na kisafishaji cha
awali **
Kila Saa 50 au Kila Mwaka *
Badilisha oili ya injini
Badilisha kichujio cha oili
Kila Mwaka
Badilisha kichujio cha hewa
Badilisha kisafishaji cha awali
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
Chunguza kizuia kelele na kizuia cheche
Badilisha kizibo cha cheche
Badilisha kichujio cha mafuta
Safisha mfumo wa kupozea hewa
* Chochote kinachokuja kwanza
** Safisha mara nyingi zaidi katika mazingira ya vumbi au
mabaki ya yaliyorushwa yanapatika.
Ukarabati wa Injini
ONYO
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
!
!
Badilisha Oili ya Injini
Mafuta yaliyotumika ni uchafu hatari na lazima yatupwe ipasavyo.
Usiitupe pamoja na uchafu wa nyumbani. Hakikisha na serikali
za mitaa, kituo cha matengenezo, au muuzaji kuhusu vituo vya
utupaji/utumiaji upya salama.
1. Weka matofali au bloku za mbao chini ya magurudumu
ya mbele ili upande wa nyuma wa injini uwe chini.
2. Legeza na uondoe kifuniko cha tangi la mafuta lililo
kwenye injini.
3. Weka kontena yenye kiasi cha chini cha kwati 2 chini
ya mwisho wa bomba la kutoa mafuta
(Picha ya 20)
.
4. Ondoa au fungua plagi ya bomba la kutoa mafuta
(A au
B, Picha ya 20)
, kulingana na aina ya plagi ya bomba la
kutoa mafuta ambayo injini ilikuja nayo.
5. Baada ya mafuta kumwagika, badilisha au funga plagi
ya bomba la kutoa mafuta, na upanguse mafuta yoyote
ambayo huenda yakawa yamemwagika. Tupa mafuta
yaliyotumika ipasavyo.
6. Jaza injini na mafuta mpya. Rejelea "Jinsi ya
Kuangalia/Kuongeza Oili" katika Fungu la Uendeshaji.
Badilisha Kichujio cha Oili (ikiwa kipo)
Baadhi ya miundo ina kichujio cha Mafuta. Kwa muda wa
kubadilisha, angalia chati ya Ukarabati.
1. Mwaga Mafuta kutoka injini. Rejelea "Badilisha Oili ya
Injini".
2. Ondoa kichujio cha mafuta
(A, Picha ya 21)
na uitupe
ipasavyo.
3. Kabla ya kufunga kichujio kipya cha mafuta, paka
gasketi ya kichujio cha mafuta na mafuta safi.
4. Funga kichujio cha mafuta kwa mkono hadi gasketi
iguse adapta ya kichujio ch mafuta, kisha kaza kichujio
cha mafuta kwa mzunguko 1/2 hadi 3/4.
5. Ongeza mafuta. Rejelea "Jinsi ya Kuangalia/Kuongeza
Oili" katika fungu la Uendeshaji.
6. Washa na uendeshe injini. Wakati injini inapata joto,
kagua kama mafuta yanavuja.
7. Zima injini na ukague kiwango cha mafuta. Kinafaa
kiwe juu ya indiketa nzima kwenye kijiti cha kupimia
mafuta.
Kukarabati Kichujio cha Hewa
ONYO
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto haraka sana
na kulipuka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya
moto au kifo.
• Usiwaji kuwasha au kuendesha injini wakati kisafisha
hewa (kama inayo) au kichujio cha hewa (ikiwa inayo)
kimeondolewa.
!
!
ILANI:
Usipulize hewa au kitu chochote cha majimaji ili
uoshe kichujio. Kupuliza hewa kunaweza kuharibu kichujio
na kito chochote cha maji maji kinaweza kuvunja kichujio.
Mfumo wa kichujio cha hewa hutumia kichujio cha katriji ya
hewa ya silinda Baadhi ya modeli pia zina kisafishaji mapema
ambacho kinaweza kuoshwa na kutumiwa tena.
Kichujio Bapa cha Hewa
1. Inua mpini wa kifuniko
(A, Picha ya 22)
. Zungusha
mpini wa kifuniko upande wa injini na kisha uondoe
kifuniko
(B)
.
2. Ondoa kisafishaji cha kabla
(C, Figure 22)
, ikiwa inayo,
na kichujio
(D)
.
3. Kulegeza vifusi, gongesha kichujio polepole kwenye
eneo gumu. Ikiwa kichujio ni kichafu zaidi, kibadilishe
na kichujio kipya.
4. Osha kisafishaji cha kabla katika sabuni ya maji na
maji. Kisha kiwache kikauke kabisa kwenye hewa.
Usipake mafuta kwenye kisafishaji cha kabla.
5 Funga kisafisha cha kabla kilichokauka na kichujio
kwenye sehemu ya chini ya injini
(E, Picha ya 22)
.
6. Panga tabo
(F, Picha ya 22)
kwenye kifuniko kilicho na
sloti
(G)
katika kasha la kipulizi. Zungusha mpini wa
kifuniko nyuma na uusukume chini ili ukifunge.
Kichujio cha Ganda la Silinda cha Hewa
1. Ondoa vishikizo
(A, Picha ya 23)
na kifuniko cha
kichujio cha hewa
(B)
.
Summary of Contents for 2691382-00
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Page 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Page 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Page 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Page 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...