Briggs & Stratton Vanguard 10V000 Operator'S Manual Download Page 50

50

VanguardPower.com

Kumbuka: 

Ufunguo (D, Kielelezo 16) hauzimi injini, ufunguo unawasha tu injini.

Ili kuwazuia watoto kutoanzisha injini, kila wakati ondoa ufunguo (D) wakati kifaa

hakitumiwi. 

Udumishaji

Notisi

Iwapo injini imeinamishwa wakati wa udumishaji, tangi la fueli, iwapo liko

kwenye injini, lazima liwe tupu na upande wa kuziba cheche lazima uwe juu. Iwapo

tangi la fueli sio tupu na iwapo injini imeinamishwa katika mwelekeo mwingine,

inaweza kuwa vigumu kuwaka kwa sababu ya mafuta au petroli kuchafua kuchuja

hewa na/au kuziba cheche.

 Onyo

Wakati unapotekeleza udumishaji unaohitaji kitengo kuinamishwa, tangi la fueli,

iwapo limewekwa kwenye injini, lazima liwe tupu au fueli inaweza kumwagika nje na

kusababisha moto au mlipuko.

Tunapendekeza kuwa umwone Mtoa Huduma yeyote wa Briggs & Stratton

Aliyeidhinishwa kwa udumishaji na huduma zote za injini na sehemu za injini.

Notisi

Vijenzi vyote vilivyotumiwa kujenga injini hii lazima visalie sawa kwa

uendeshaji bora.

 Onyo 

Cheche zisizotarajiwa zinaweza kusababisha moto au mshtuko wa kielektriki.
Uwashaji usiotarajiwa unaweza kusababisha kunaswa, kukatwa kwa viungo

kwa kiwewe, au majeraha makali ya ukataji wa ngozi.
Madhara ya moto

Kabla ya kutekeleza marekebisho au ukarabati:

• Tenganisha waya ya kuziba cheche na uhifadhi mbali na kuziba cheche.
• Tenganisha betri katika mwisho wa chanya (injini zilizo na kiwashaji wa kielektriki

tu.)

• Tumia zana sahihi tu.
• Usihitilifiane na springi ya kithibiti, viunganishi au sehemu zingine ili kuongeza kasi

ya injini.

• Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa

kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza

kuharibu kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.

• Usigonge gurudumu la kuongeza kasi ya injini kwa nyundo au kifaa kigumu

kwa sababu gurudumu la kuongeza kasi ya injini linaweza kuvunjika wakati wa

kuendesha.

Wakati wa kujaribu cheche:

• Tumia kijaribio cha kuziba cheche kilichoidhinishwa.
• Usikague injini wakati kuziba cheche imeondolewa.

Huduma ya Udhibiti wa Mafukizo

Udumishaji, ubadilishaji, au ukarabati wa vifaa na mifumo ya kudhibiti mafukizo

unaweza kutekelezwa na kituo chochote au mtu yeyote wa kukarabati injini.

 Hata

hivyo, ili kupata huduma ya kudhibiti mafukizo ya "bila malipo", ni lazima kazi ifanywe na

mtoa huduma aliyeidhinishwa na kiwanda. Tazama Taarifa ya Udhibiti wa Mafukizo.

Ratiba ya Udumishaji

 

Saa 5 za Kwanza

 

• Badilisha oili 

 

Kila Baada ya Saa 8 au Kila Siku

 

• Kagua kiwango cha oili ya injini 
• Safisha maeneo yaliyo karibu na mafla na vidhibiti. 
• Safisha grili ya kuingiza hewa  

 

Kila Baada ya Saa 100 au Kila mwaka

 

• Fanyia huduma mfumo wa ekzosi 
• Badilisha Oili katika Kifaa cha Upunguzaji (ikiwa kipo - Kielelezo 21, 23)

 

Katika kila Saa 200 au Kila Mwaka

 

• Badilisha oili ya injini 
• Safisha chujio la hewa 

 

1

 

 

 

Kila Baada ya Saa 600 au Kila Baada ya Miaka 3

 

• Badilisha kichujio cha hewa 

 

Kila Mwaka

 

• Badilisha plagi ya spaki 
• Fanyia huduma mfumo wa mafuta  
• Shughulikia mfumo wa kupoesha 

 

1

 

 

• Kagua uwazi wa vali 

 

2

 

 

 

 

1

 

 Safisha mara nyingi zaidi katika mazingira yenye vumbi au wakati vifusi

vinavyorushwa hewani vipo. 
 

 

2

 

 Haihitajiki isipokuwa injini itambulike kuwa ina matatizo ya utendakazi. 

Kabureta na Kasi ya Injini

Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi ya injini. Kabureta iliwekwa

kwenye kiwanda kufanya kazi kwa ufanisi chini ya masharti mengi. Usihitilafiane na

springi ya kidhibiti, uhusiano au sehemu nyingine ili kubadilisha kasi ya injini. Iwapo

marekebisho yoyote yanahitajika wasiliana na Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton

Aliyeidhinishwa kwa huduma.

Notisi

Mtengenezaji wa kifaa hubainisha kasi ya juu ya injini kama ilivyosakinishwa

kwenye kifaa. 

Usizidi

 kasi hii. Iwapo huna uhakika kasi ya juu ya kifaa hiki ni ipi, au

kasi ya injini imewekwa kwa kutoka kwenye kiwanda, wasiliana na Mtoa Huduma wa

Briggs & Stratton Aliyeidhinishwa kwa usaidizi. Kwa oparesheni salama na sahihi ya

kifaa, kasi ya injini inafaa kurekebishwa na mtaalam wa huduma aliyehitimu tu.

Shughulikia Kuziba Cheche

Tazama Kielelezo: 17
Angalia nafasi iliyo (A, Kielelezo 17) na kipimo (B). Iwapo ni muhimu, weka upya nafasi.

Sakinisha na ukaze kuziba cheche katika toku iliyopendekezwa. Kwa uwekaji wa nafasi

au toku, tazama Vipimo 

 

sehemu

 

.

Kumbuka: 

Katika baadhi ya maeneo, sheria ya ndani huhitaji kutumia kuziba cheche

ambayo haipitishi nishati ili kupunga ishara za kuwaka. Iwapo injini hii ilikuwa na kuziba

cheche ambayo haipitishi nishati mwanzoni, tumia aina sawa kwa ubadilishaji.

Shughulikia Mfumo wa Eneo la kutolea

moshi

 Onyo 

Injini inayoendesha inazalisha joto. Sehemu za injini, hususan mafla, huwa

moto zaidi.
Kuchomeka vikali kunaweza kusababishwa unapogusana nazo.
Uchafu unaoweza kuwaka, kama vile majani, nyasi, brashi n.k. unaweza

kushika moto.

• Ruhusu mafla, silinda na mapezi ya injini kupoa kabla ya kugusa.
• Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye eneo la mafla na eneo la silinda.
• Ni ukiukaji wa Msimbo wa Rasilimali wa Umma wa California, Sehemu ya 4442,

kutumia au kuendesha injini katika eneo linazungukwa na msitu, lililozungukwa na

brashi, au lililo na nyasi isipokuwa mfumo wa eneo la kutolea moshi una kishika

cheche, kama ilivyofafanuliwa kwenye Sehemu ya 4442, iliyodumishwa kwenye

mpangilio wenye ufanisi wa kufanya kazi. Mamlaka mengine ya Majimbo au

shirikisho yanaweza kuwa sheria sawa. Wasiliana na mtengenezaji wa kifaa asili,

muuzaji wa rejareja, au mtoa huduma ili kupata kishika cheche kilichobuniwa kwa

mfumo wa eneo la kutolea moshi uliosakinishwa kwenye injini hii.

Ondoa uchafu uliokusanyika kutoka kwenye mafla na eneo la silinda. Kagua mafla kwa

nyufa, kutia kutu, au uharibifu mwingine. Ondoa kifaa cha kusonga au kishika cheche,

iwapo kipo, na ukague kwa uharibifu au uzuiaji wa kaboni. Iwapo uaribifu utapatikana,

sakinisha sehemu za ubadilishaji kabla ya kuendesha.

 Onyo

Sehemu za ubadilishaji lazima ziwe sawa na zilizosakinishwa katika eneo sawa

kama sehemu asili. Sehemu zingine huenda zisitekeleze vilevile, zinaweza kuharibu

kitengo, na inaweza kusababisha majeraha.

Badilisha Oili ya Injini

Tazama Kielelezo: 18, 19, 20
Oili iliyotumika ni bidhaa taka na hatari na ni lazima itupwe kwa njia mwafaka. Usitupe

pamoja na taka ya nyumbani. Wasiliana na mamlaka yako ya ndani, kituo cha huduma

au muuzaji ili kupata zana salama za kutupa/kutumia tena.

Not for 

Reproduction

Summary of Contents for Vanguard 10V000

Page 1: ...Copyright Briggs Stratton Corporation Milwaukee WI USA All rights reserved 80091352 Revision C N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 2: ...2 VanguardPower com 1 2 3 4 5 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 3: ...3 6 7 8 9 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 4: ...4 VanguardPower com 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 5: ...5 20 21 22 23 24 25 26 27 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 6: ...cates a hazard which if not avoided could result in minor or moderate injury NOTICE indicates information considered important but not hazard related Hazard Symbols and Meanings Safety information abo...

Page 7: ...nts such as but not limited to blades impellers pulleys sprockets etc must be securely attached WARNING Rotating parts can contact or entangle hands feet hair clothing or accessories Traumatic amputat...

Page 8: ...move freely Adjust nut P Figure 6 as needed for desired operation Remote Throttle Control with Solid Wire Cable A remote throttle control with a solid wire cable can be installed is any of four direct...

Page 9: ...equently C 5W 30 D Synthetic 5W 30 E Vanguard Synthetic 15W 50 Check Oil Level See Figure 13 14 Before adding or checking the oil Make sure the engine is level Clean the oil fill area of any debris Se...

Page 10: ...red under warranty Note Equipment may have remote controls See the equipment manual for location and operation of remote controls 1 Check the engine oil See the Check Oil Level section 2 Make sure equ...

Page 11: ...ch as leaves grass brush etc can catch fire Allow muffler engine cylinder and fins to cool before touching Remove accumulated debris from muffler area and cylinder area It is a violation of California...

Page 12: ...fore starting engine Replacement parts must be the same and installed in the same position as the original parts Fuel Strainer if equipped 1 Remove the fuel cap A Figure 26 2 Remove the fuel strainer...

Page 13: ...g the warranty period specified below it will repair or replace free of charge any part that is defective in material or workmanship or both Transportation charges on product submitted for repair or r...

Page 14: ...t you retain all receipts covering maintenance on your engine equipment but B S cannot deny warranty coverage solely for the lack of receipts or for your failure to ensure the performance of all sched...

Page 15: ...uid fuel and fuel vapors fuel caps valves canisters filters clamps and other associated components Also included may be hoses belts connectors and other emission related assemblies Where a warrantable...

Page 16: ...hich the engine is certified to be emissions compliant assuming proper maintenance in accordance with the Operator s Manual The following categories are used Moderate Engines at or less than 80 cc dis...

Page 17: ...vita podr a ocasionar lesiones menores o moderadas AVISO indica informaci n que se considera importante pero que no est relacionada con un peligro S mbolos de peligro y significados Informaci n de seg...

Page 18: ...halar la mano y el brazo hacia el motor antes de que pueda soltarla Esto podr a ocasionar roturas de huesos fracturas moretones o torceduras Cuando arranque el motor tire lentamente de la cuerda hast...

Page 19: ...medio giro en el control del acelerador palanca TransportGuard A 3 Sostenga la tuerca de montaje del cable J Figura 5 con una llave de 10 mm y afloje el tornillo K 4 Instale el cable L Figura 5 a trav...

Page 20: ...pecificaciones AVISO Algunos motores se env an desde Briggs Stratton con o sin aceite Aseg rese siempre de que el motor tenga aceite Si arranca el motor sin aceite sufrir da os irreparables que no se...

Page 21: ...os en su lugar No haga girar el motor si retir la buj a Si el motor se ahoga ajuste el estrangulador si est equipado en la posici n ABIERTO o MARCHA mueva el acelerador si est equipado a la posici n R...

Page 22: ...idad de reducci n si est equipado Figura 21 23 Cada 200 horas o anualmente Cambie de aceite del motor Limpie el filtro de aire 1 Cada 600 horas o cada 3 a os Reemplace el filtro de aire anualmente Ree...

Page 23: ...tor tambi n lubrica la unidad de reducci n de cadena Unidad de reducci n de embrague h medo 2 1 Vea la figura 23 Si el motor est equipado con una unidad de reducci n de embrague h medo 2 1 realice el...

Page 24: ...r cuando se conserva en un contenedor de almacenamiento durante m s de 30 d as Cada vez que llene el contenedor con combustible agregue estabilizador de combustible al combustible tal como se especifi...

Page 25: ...m o cont ctese con el distribuidor de servicio autorizado de Briggs Stratton 2 No hay garant a para los motores de los equipos usados para suministrar energ a primaria en sustituci n de un servicio p...

Page 26: ...s porter des lunettes de protection Risque d explosion Risque de gelure Danger d effet de recul Risque d amputation pi ces mobiles Risque chimique Risque li la chaleur Corrosif Messages de s curit AVE...

Page 27: ...toute charge ext rieure l quipement ou au moteur avant de le d marrer Les l ments directement coupl s l quipement notamment les lames turbines poulies engrenages etc devront tre fermement arrim s AVER...

Page 28: ...ommande d acc l rateur le levier TransportGuard A 3 Maintenir l crou de fixation J Figure 5 avec une cl de 10 mm et desserrer la vis K 4 Installer le c ble tress L Figure 5 en passant par le trou de l...

Page 29: ...d habillage F Fonctionnement Recommandations concernant l huile Capacit d huile Voir la section Sp cifications AVIS Certains moteurs sont exp di s par Briggs Stratton avec ou sans huile Toujours v rif...

Page 30: ...es vapeurs sont hautement inflammables et explosives Un incendie ou une explosion peuvent entra ner de graves br lures voire m me la mort D marrage du moteur S assurer que la bougie le silencieux le b...

Page 31: ...ces peuvent ne pas fonctionner aussi bien peuvent endommager la machine et peuvent provoquer des blessures Ne pas taper sur le volant moteur avec un marteau ou un objet dur cela pourrait entra ner une...

Page 32: ...igure 18 sur la bougie E Changer l huile dans le r ducteur R ducteur 6 1 Voir Figure 21 Si le moteur est quip d un r ducteur 6 1 proc der comme suit pour l entretien 1 Retirer le bouchon de l orifice...

Page 33: ...ves Un incendie ou une explosion peuvent entra ner de graves br lures voire m me la mort Entreposage de carburant ou d quipements dont le r servoir contient du carburant Entreposez les l cart des chau...

Page 34: ...1 2 3 Vanguard S rie commerciale 3 Usage priv 36 mois Usage commercial 36 mois S rie XR Usage priv 24 mois Usage commercial 24 mois Tous les autres moteurs chemise en fonte Dura Bore Usage priv 24 mo...

Page 35: ...suffisant des boulons de fixation du moteur des lames ou des turbines desserr es ou mal quilibr es un mauvais raccordement des composants de l quipement au vilebrequin 9 un abus un manque d entretien...

Page 36: ...o de contragolpe Risco de amputa o pe as em movimento Perigo de subst ncias qu micas Risco de calor t rmico Corrosivo Mensagens de seguran a ADVERT NCIA Os motores Briggs Stratton n o foram projetados...

Page 37: ...resultar em amputa o traum tica ou grave lacera o Opere o equipamento com as prote es no devido lugar Mantenha as m os e os p s afastados das pe as rotativas Prenda o cabelo e retire as joias N o use...

Page 38: ...oto do acelerador e o cabo L Figura 5 devem se mover livremente Ajuste a porca P Figura 6 conforme necess rio para a opera o desejada Controle remoto do acelerador com cabos s lidos Um controle remoto...

Page 39: ...caso estejam classificados para o servi o SF SG SH SJ ou mais alto N o use aditivos especiais As temperaturas ao ar livre determinam a viscosidade adequada do leo para o motor Use a tabela para selec...

Page 40: ...lerador se houver na posi o FAST r pido e acione at o motor ligar ADVERT NCIA PERIGO DE G S VENENOSO O escapamento do motor cont m mon xido de carbono um g s venenoso capaz de matar em minutos N O pos...

Page 41: ...impe filtro de ar 1 A cada 600 horas ou a cada 3 anos Substituir o filtro de ar Anualmente Substitua a vela de igni o Fazer manuten o do sistema de combust vel Fa a a manuten o do sistema de arrefecim...

Page 42: ...Remova o buj o de drenagem de leo B Figura 23 e drene o leo em um recipiente adequado 3 Instale e aperte o buj o de drenagem de leo B Figura 23 4 Para abastecer despeje lentamente leo consulte a se o...

Page 43: ...tabilizador pelo sistema de combust vel Se n o for tratada com um estabilizador de combust vel a gasolina no motor dever ser escoada dentro de um recipiente aprovado Ligue o motor at parar por falta d...

Page 44: ...ou em pistas comerciais ou de aluguel n o s o cobertos pela garantia 3 Vanguard instalado nos geradores de emerg ncia uso pelo consumidor 24 meses sem garantia para uso comercial S rie comercial com d...

Page 45: ...atwa viungo sehemu zinazosonga Hati ya kemikali Hatari ya kuchomeka Babuzi Ujumbe wa Usalama Onyo Injini za Briggs Stratton hazijaundwa kuzalisha nguvu za umeme au kuendesha vijigari vya kufurahia vij...

Page 46: ...ngozi Endesha kifaa na vilinzi vikiwa karibu Weka mikono na miguu mbali na sehemu zinazozunguka Funga nywele ndefu na uondoe mapambo Usivae nguo zisizokubana vizuri kamba za nguo zinazomwayamwaya au v...

Page 47: ...usonga huru Kaza kazua nati P Kielelezo 6 kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Gumu Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya gumu...

Page 48: ...vitegemezi maalum Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini Tumia chati kuchagua mnato bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya kazi...

Page 49: ...ado unaweza kuvuta gesi ya monoksidi ya kaboni Iwapo utaanza kuhisi mgonjwa kisunzi au mchovu wakati unatumia bidhaa hii izime na uende eneo lenye hewa safi MARA MOJA Mwone daktari Huenda ukawa umeath...

Page 50: ...umbi au wakati vifusi vinavyorushwa hewani vipo 2 Haihitajiki isipokuwa injini itambulike kuwa ina matatizo ya utendakazi Kabureta na Kasi ya Injini Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi...

Page 51: ...na inayofaa 3 Weka na ukaze kifuniko cha tundu la kumwagia oili B Kielelezo 23 4 Ili kujaza mwaga polepole oili ya kulainisha gia tazama sehemu ya Maelezo kwenye tundu la kujazia oili C Kielelezo 23 5...

Page 52: ...ye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili kudumisha usafi Mafuta ya Injini Wakati injini bado ina joto badilisha mafuta ya injini Tazama sehemu Kubadilisha Mafuta ya Injini Utafutatuzi Kwa usaidizi wa...

Page 53: ...wa matumizi ya kibinafsi Msururu wa Kibiashara ulio na tarehe ya kutengenezwa ya kabla ya Julai 2017 miezi 24 kwa matumizi ya kibinafsi miezi 24 kwa matumizi ya kibiashara 4 Nchini Australia Bidhaa ze...

Page 54: ...anguardPower com Briggs Stratton Briggs Stratton Corporation Briggs Stratton ATVs Briggs Stratton www briggsracing com ATVs Briggs Stratton 1 866 927 3349 OPEN RUN FAST N o t f o r R e p r o d u c t i...

Page 55: ...55 4442 4442 3 2 1 1 A B C D E F G H I J TransportGuard K L N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 56: ...0 5 K 4 L 5 J K 12 7 1 2 5 I 5 N M I 6 L 5 P 6 7 6 1 TransportGuard A 7 6 2 S 7 6 3 TransportGuard A 7 6 4 10 P 6 1 2 TransportGuard A 5 Z E 7 R 6 I 7 N M I 7 L 7 P 6 8 6 1 TransportGuard A 8 6 2 S 8...

Page 57: ...ansportGuard A 11 2 S 11 3 TransportGuard A 11 4 V 11 V 2 8 25 5 H 11 TransportGuard STOP OFF RUN 6 TransportGuard O 12 F Briggs Stratton Briggs Stratton SF SG SH SJ 5 W 30 15 W 50 Vanguard SAE 30 4 4...

Page 58: ...MPI O2S 1524 5000 85 85 AKI 89 RON Briggs Stratton 2500 762 15 1 2 A 15 C 3 16 Briggs Stratton 1 2 3 TransportGuard A 16 FAST RUN 4 B 16 5 C 16 6 D 16 7 B 16 VanguardPower com 9333 999 800 1 N o t f...

Page 59: ...nsportGuard TransportGuard A 16 TransportGuard TransportGuard D 16 D Briggs Stratton 5 8 100 23 21 200 1 3 600 1 2 1 2 Briggs Stratton Briggs Stratton 17 A 17 B 4442 4442 N o t f o r R e p r o d u c t...

Page 60: ...E 6 1 21 6 1 1 A 21 B 2 C 21 3 C 21 4 D 21 E 5 B 21 6 A 21 A 21 F 2 1 22 2 1 G 22 2 1 23 2 1 1 A 23 2 B 23 3 B 23 4 C 23 5 A 23 6 A 23 D 7 A 23 25 24 1 C 24 2 A 24 3 B 24 4 B 24 5 B 24 6 A 24 C 1 A 25...

Page 61: ...0 20 010 013 35 25 004 006 15 10 005 007 20 15 12 V000 12 387 203 2 677 68 2 204 56 18 20 59 54 80W 90 21 6 1 4 12 21 6 1 10W30 23 2 1 10 30 23 2 1 030 76 180 20 010 013 35 25 004 006 15 10 005 007 20...

Page 62: ...24 12 24 3 1 BRIGGSandSTRATTON COM Briggs Stratton 2 25 MPH 3 Vanguard 24 24 24 2017 4 BRIGGSandSTRATTON COM 1300 274 447 salesenquires briggsandstratton com au Briggs Stratton Australia Pty Ltd 1 Moo...

Page 63: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Page 64: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Reviews: