Briggs & Stratton Vanguard 10V000 Скачать руководство пользователя страница 45

45

Hakimili ya © Briggs & Stratton Corporation, Milwaukee, WI, Marekani. Haki zote

zimehifadhi.

Mwongozo huu una maelezo ya usalama ili kukufahamisha kuhusu hatari zinazohusiana

na injini hizi na jinsi ya kuziepuka hatari hizo. Pia una maagizo ya matumizi bora na

utunzaji mwema wa injini. Kwa sababu Shirika la Briggs & Stratton halijui hususan

injini hii itaendesha kifaa kipi, ni muhimu kwamba usome na uelewe maagizo haya na

maagizo ya kifaa. 

Hifadhi maagizo haya asili kwa marejeleo ya siku zijazo.

 

Kumbuka: 

Vielelezo na mifano iliyo katika mwongozo huu imetolewa kwa marejeleo

pekee na huenda ikatofautiana na muundo wako maalum. Wasiliana na muuzaji wako

iwapo una maswali. 
Kwa vipuri vya kubadilishia au usaidizi wa kiufundi, rekodi hapa chini muundo, aina, na

nambari za msimbo za injini pamoja na tarehe ya ununuzi. Nambari hizi zinapatikana

kwenye injini yako (tazama sehemu ya 

 

Vipengele na Udhibiti

 

). 

 

Tarehe ya Ununuzi

 

 

Muundo wa Injini - Aina - Msimbo

 

 

Nambari Tambulishi ya Injini

 

 

Utumiaji tena wa Taarifa

Ufungaji wote, mafuta yaliyotumika, na betri zote

zinapaswa kutumiwa upya kulinagana na kanuni za serikali

zinazotekelezwa.

Usalama wa Opareta

Ishara ya Tahadhari ya Usalama na

Maneno ya Ishara

Alama ya tahadhari ya kiusalama 

 inatumika kutambulisha maelezo ya

usalama kuhusu hatari zinazoweza kusababisha jeraha la kibinafsi. Neno la ishara

(

HATARI

ONYO

, au 

TAHADHARI

) linatumika pamoja na alama ya ishara ili kuonyesha

uwezekano wa kujeruhiwa na ubaya wa jeraha hilo. Kwa kuongezea, alama ya hatari

inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari. 

 

 

HATARI

 inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, 

itasababisha

 kifo au jeraha

mbaya sana. 

 

 

ONYO

 inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, 

inaweza

 kusababisha kifo au

jeraha mbaya sana. 

 

 

TAHADHARI

 inaonyesha hatari ambayo, isipoepukwa, 

inaweza

 kusababisha

jeraha dogo au wastani. 
 

ILANI

 

 huonyesha hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu wa bidhaa. 

Alama za Hatari na Maana Yake

Maelezo ya usalama

kuhusu hatari zinazoweza

kusababisha jeraha la

kibinafsi. 

Soma na uelewe Mwongozo

wa Mwendeshaji kabla ya

kutumia kifaa au kukifanyia

huduma. 

Hatari ya moto 

Hatari ya mlipuko 

Hatari ya mshtuko 

Hatari ya moshi wenye sumu 

Hatari ya maeneo moto 

Hatari ya kelele - Ulinzi wa

masikio unapendekezwa kwa

matumizi ya muda mrefu. 

hatari ya vitu

vinavyorushwa - Vaa vifaa

vya kukinga macho. 

Hatari ya mlipuko 

Hatari ya jamidi 

Hatari ya kuvutwa nyuma kwa

haraka 

Hatari ya kukatwa viungo -

sehemu zinazosonga 

Hati ya kemikali 

Hatari ya kuchomeka 

Babuzi 

Ujumbe wa Usalama

 Onyo

Injini za Briggs & Stratton® hazijaundwa kuzalisha nguvu za umeme au kuendesha:

vijigari vya kufurahia; vijigari vya kuendesha; vya watoto burudani, au magari ya

barabara ya aina yote (ATVs); pikipiki; gari la kuendeshea juu ya maji; bidhaa za

ndege; au magari yaliyotumiwa katika matukio ya mashindano yasiyowekewa

vikwazo na Briggs & Stratton. Kwa maelezo kuhusu bidhaa za mashindano ya

uendeshaji magari, tazama www.briggsracing.com. Kwa matumizi pamoja na vifaa na

ATV za upande kwa upande, tafadhali wasiliana na Kituo cha Matumizi ya Injini cha

Briggs & Stratton, 1-866-927-3349. Utumizi mbaya wa injini unaweza kusababaisha

majeraha mabaya au kifo.

 Onyo 

Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka sana.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au

kifo.

Wakati wa Kuongeza Mafuta

• Zima injini na uwache injini ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko

cha mafuta.

• Jaza tangi la mafuta nje au katika eneo lenye hewa nyingi safi.
• Usijaze tangi la mafuta kupita kiasi. Ili uruhusu uvukizi wa mafuta, usijaze hadi juu

ya chini ya shingo la tangi la mafuta.

• Weka mafuta mbali na spaki, moto ulio wazi, taa za gesi, joto, na vyanzo vingine

vya mwako.

• Kagua tundu za mafuta, tangi, kifuniko kama kuna nyufa na uvujaji. Badilisha

kama itahitajika.

• Mafuta yakimwagika, subiri mpaka pale ambapo yatayeyuka kabla ya kuwasha

injini.

Wakati wa Kuwasha Injini

• Hakikisha kwamba plagi ya spaki, mafla, kifuniko cha mafuta, na kisafishaji hewa

(iwapo kipo) vimefungwa na kukazwa.

• Usiwashe injini wakati kiziba cheche kimeondolewa.
• Injini ikifurika, weka choki (ikiwa ipo) katika eneo la kuonyesha FUNGUA /

ENDESHA (OPEN / RUN), songeza kidhibiti injini (ikiwa kipo) hadi eneo la

kuonyesha HARAKA (FAST) na ushtue hadi injini iwake.

Wakati wa Kuendesha Kifaa

• Usiinamishe injini au kifaa katika mkao unaosababisha mafuta kumwagika.
• Usijaribu kutoruhusu hewa kuingia kwenye kabureta ili kusimamisha injini.
• Usiwashe au kuendesha injini kamwe wakati uunganishaji wa kisafishaji hewa

(iwapo kipo) au chujio la hewa (iwapo lipo) vimeondolewa.

Wakati wa Kubadilisha Oili

• Ukimwaga oili kutoka kwenye tundu la juu la kujazia oili, ni lazima tangi la mafuta

liwe tupu au mafuta yanaweza kuvuja na kusababisha moto au mlipuko.

Wakati wa Kuinamisha Kifaa ili Kutekeleza Udumishaji

• Wakati unapotekeleza udumishaji unaohitaji kitengo kuinamishwa, tangi la mafuta,

iwapo limewekwa kwenye injini, lazima liwe tupu au mafuta yanaweza kuvuja na

kusababisha moto au mlipuko.

Not for 

Reproduction

Содержание Vanguard 10V000

Страница 1: ...Copyright Briggs Stratton Corporation Milwaukee WI USA All rights reserved 80091352 Revision C N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 2: ...2 VanguardPower com 1 2 3 4 5 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 3: ...3 6 7 8 9 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 4: ...4 VanguardPower com 10 11 12 13 14 15 16 17 18 19 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 5: ...5 20 21 22 23 24 25 26 27 N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 6: ...cates a hazard which if not avoided could result in minor or moderate injury NOTICE indicates information considered important but not hazard related Hazard Symbols and Meanings Safety information abo...

Страница 7: ...nts such as but not limited to blades impellers pulleys sprockets etc must be securely attached WARNING Rotating parts can contact or entangle hands feet hair clothing or accessories Traumatic amputat...

Страница 8: ...move freely Adjust nut P Figure 6 as needed for desired operation Remote Throttle Control with Solid Wire Cable A remote throttle control with a solid wire cable can be installed is any of four direct...

Страница 9: ...equently C 5W 30 D Synthetic 5W 30 E Vanguard Synthetic 15W 50 Check Oil Level See Figure 13 14 Before adding or checking the oil Make sure the engine is level Clean the oil fill area of any debris Se...

Страница 10: ...red under warranty Note Equipment may have remote controls See the equipment manual for location and operation of remote controls 1 Check the engine oil See the Check Oil Level section 2 Make sure equ...

Страница 11: ...ch as leaves grass brush etc can catch fire Allow muffler engine cylinder and fins to cool before touching Remove accumulated debris from muffler area and cylinder area It is a violation of California...

Страница 12: ...fore starting engine Replacement parts must be the same and installed in the same position as the original parts Fuel Strainer if equipped 1 Remove the fuel cap A Figure 26 2 Remove the fuel strainer...

Страница 13: ...g the warranty period specified below it will repair or replace free of charge any part that is defective in material or workmanship or both Transportation charges on product submitted for repair or r...

Страница 14: ...t you retain all receipts covering maintenance on your engine equipment but B S cannot deny warranty coverage solely for the lack of receipts or for your failure to ensure the performance of all sched...

Страница 15: ...uid fuel and fuel vapors fuel caps valves canisters filters clamps and other associated components Also included may be hoses belts connectors and other emission related assemblies Where a warrantable...

Страница 16: ...hich the engine is certified to be emissions compliant assuming proper maintenance in accordance with the Operator s Manual The following categories are used Moderate Engines at or less than 80 cc dis...

Страница 17: ...vita podr a ocasionar lesiones menores o moderadas AVISO indica informaci n que se considera importante pero que no est relacionada con un peligro S mbolos de peligro y significados Informaci n de seg...

Страница 18: ...halar la mano y el brazo hacia el motor antes de que pueda soltarla Esto podr a ocasionar roturas de huesos fracturas moretones o torceduras Cuando arranque el motor tire lentamente de la cuerda hast...

Страница 19: ...medio giro en el control del acelerador palanca TransportGuard A 3 Sostenga la tuerca de montaje del cable J Figura 5 con una llave de 10 mm y afloje el tornillo K 4 Instale el cable L Figura 5 a trav...

Страница 20: ...pecificaciones AVISO Algunos motores se env an desde Briggs Stratton con o sin aceite Aseg rese siempre de que el motor tenga aceite Si arranca el motor sin aceite sufrir da os irreparables que no se...

Страница 21: ...os en su lugar No haga girar el motor si retir la buj a Si el motor se ahoga ajuste el estrangulador si est equipado en la posici n ABIERTO o MARCHA mueva el acelerador si est equipado a la posici n R...

Страница 22: ...idad de reducci n si est equipado Figura 21 23 Cada 200 horas o anualmente Cambie de aceite del motor Limpie el filtro de aire 1 Cada 600 horas o cada 3 a os Reemplace el filtro de aire anualmente Ree...

Страница 23: ...tor tambi n lubrica la unidad de reducci n de cadena Unidad de reducci n de embrague h medo 2 1 Vea la figura 23 Si el motor est equipado con una unidad de reducci n de embrague h medo 2 1 realice el...

Страница 24: ...r cuando se conserva en un contenedor de almacenamiento durante m s de 30 d as Cada vez que llene el contenedor con combustible agregue estabilizador de combustible al combustible tal como se especifi...

Страница 25: ...m o cont ctese con el distribuidor de servicio autorizado de Briggs Stratton 2 No hay garant a para los motores de los equipos usados para suministrar energ a primaria en sustituci n de un servicio p...

Страница 26: ...s porter des lunettes de protection Risque d explosion Risque de gelure Danger d effet de recul Risque d amputation pi ces mobiles Risque chimique Risque li la chaleur Corrosif Messages de s curit AVE...

Страница 27: ...toute charge ext rieure l quipement ou au moteur avant de le d marrer Les l ments directement coupl s l quipement notamment les lames turbines poulies engrenages etc devront tre fermement arrim s AVER...

Страница 28: ...ommande d acc l rateur le levier TransportGuard A 3 Maintenir l crou de fixation J Figure 5 avec une cl de 10 mm et desserrer la vis K 4 Installer le c ble tress L Figure 5 en passant par le trou de l...

Страница 29: ...d habillage F Fonctionnement Recommandations concernant l huile Capacit d huile Voir la section Sp cifications AVIS Certains moteurs sont exp di s par Briggs Stratton avec ou sans huile Toujours v rif...

Страница 30: ...es vapeurs sont hautement inflammables et explosives Un incendie ou une explosion peuvent entra ner de graves br lures voire m me la mort D marrage du moteur S assurer que la bougie le silencieux le b...

Страница 31: ...ces peuvent ne pas fonctionner aussi bien peuvent endommager la machine et peuvent provoquer des blessures Ne pas taper sur le volant moteur avec un marteau ou un objet dur cela pourrait entra ner une...

Страница 32: ...igure 18 sur la bougie E Changer l huile dans le r ducteur R ducteur 6 1 Voir Figure 21 Si le moteur est quip d un r ducteur 6 1 proc der comme suit pour l entretien 1 Retirer le bouchon de l orifice...

Страница 33: ...ves Un incendie ou une explosion peuvent entra ner de graves br lures voire m me la mort Entreposage de carburant ou d quipements dont le r servoir contient du carburant Entreposez les l cart des chau...

Страница 34: ...1 2 3 Vanguard S rie commerciale 3 Usage priv 36 mois Usage commercial 36 mois S rie XR Usage priv 24 mois Usage commercial 24 mois Tous les autres moteurs chemise en fonte Dura Bore Usage priv 24 mo...

Страница 35: ...suffisant des boulons de fixation du moteur des lames ou des turbines desserr es ou mal quilibr es un mauvais raccordement des composants de l quipement au vilebrequin 9 un abus un manque d entretien...

Страница 36: ...o de contragolpe Risco de amputa o pe as em movimento Perigo de subst ncias qu micas Risco de calor t rmico Corrosivo Mensagens de seguran a ADVERT NCIA Os motores Briggs Stratton n o foram projetados...

Страница 37: ...resultar em amputa o traum tica ou grave lacera o Opere o equipamento com as prote es no devido lugar Mantenha as m os e os p s afastados das pe as rotativas Prenda o cabelo e retire as joias N o use...

Страница 38: ...oto do acelerador e o cabo L Figura 5 devem se mover livremente Ajuste a porca P Figura 6 conforme necess rio para a opera o desejada Controle remoto do acelerador com cabos s lidos Um controle remoto...

Страница 39: ...caso estejam classificados para o servi o SF SG SH SJ ou mais alto N o use aditivos especiais As temperaturas ao ar livre determinam a viscosidade adequada do leo para o motor Use a tabela para selec...

Страница 40: ...lerador se houver na posi o FAST r pido e acione at o motor ligar ADVERT NCIA PERIGO DE G S VENENOSO O escapamento do motor cont m mon xido de carbono um g s venenoso capaz de matar em minutos N O pos...

Страница 41: ...impe filtro de ar 1 A cada 600 horas ou a cada 3 anos Substituir o filtro de ar Anualmente Substitua a vela de igni o Fazer manuten o do sistema de combust vel Fa a a manuten o do sistema de arrefecim...

Страница 42: ...Remova o buj o de drenagem de leo B Figura 23 e drene o leo em um recipiente adequado 3 Instale e aperte o buj o de drenagem de leo B Figura 23 4 Para abastecer despeje lentamente leo consulte a se o...

Страница 43: ...tabilizador pelo sistema de combust vel Se n o for tratada com um estabilizador de combust vel a gasolina no motor dever ser escoada dentro de um recipiente aprovado Ligue o motor at parar por falta d...

Страница 44: ...ou em pistas comerciais ou de aluguel n o s o cobertos pela garantia 3 Vanguard instalado nos geradores de emerg ncia uso pelo consumidor 24 meses sem garantia para uso comercial S rie comercial com d...

Страница 45: ...atwa viungo sehemu zinazosonga Hati ya kemikali Hatari ya kuchomeka Babuzi Ujumbe wa Usalama Onyo Injini za Briggs Stratton hazijaundwa kuzalisha nguvu za umeme au kuendesha vijigari vya kufurahia vij...

Страница 46: ...ngozi Endesha kifaa na vilinzi vikiwa karibu Weka mikono na miguu mbali na sehemu zinazozunguka Funga nywele ndefu na uondoe mapambo Usivae nguo zisizokubana vizuri kamba za nguo zinazomwayamwaya au v...

Страница 47: ...usonga huru Kaza kazua nati P Kielelezo 6 kama inavyohitajika ili kuendesha unavyopenda Kidhibiti Injini kwa Mbali kilicho na Kebo ya Waya Gumu Kidhibiti injini kwa mbali kilicho na kebo ya waya gumu...

Страница 48: ...vitegemezi maalum Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini Tumia chati kuchagua mnato bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya kazi...

Страница 49: ...ado unaweza kuvuta gesi ya monoksidi ya kaboni Iwapo utaanza kuhisi mgonjwa kisunzi au mchovu wakati unatumia bidhaa hii izime na uende eneo lenye hewa safi MARA MOJA Mwone daktari Huenda ukawa umeath...

Страница 50: ...umbi au wakati vifusi vinavyorushwa hewani vipo 2 Haihitajiki isipokuwa injini itambulike kuwa ina matatizo ya utendakazi Kabureta na Kasi ya Injini Kamwe usifanye marekebisho kwenye kabureta au kasi...

Страница 51: ...na inayofaa 3 Weka na ukaze kifuniko cha tundu la kumwagia oili B Kielelezo 23 4 Ili kujaza mwaga polepole oili ya kulainisha gia tazama sehemu ya Maelezo kwenye tundu la kujazia oili C Kielelezo 23 5...

Страница 52: ...ye kontena ya uhifadhi yanapendekezwa ili kudumisha usafi Mafuta ya Injini Wakati injini bado ina joto badilisha mafuta ya injini Tazama sehemu Kubadilisha Mafuta ya Injini Utafutatuzi Kwa usaidizi wa...

Страница 53: ...wa matumizi ya kibinafsi Msururu wa Kibiashara ulio na tarehe ya kutengenezwa ya kabla ya Julai 2017 miezi 24 kwa matumizi ya kibinafsi miezi 24 kwa matumizi ya kibiashara 4 Nchini Australia Bidhaa ze...

Страница 54: ...anguardPower com Briggs Stratton Briggs Stratton Corporation Briggs Stratton ATVs Briggs Stratton www briggsracing com ATVs Briggs Stratton 1 866 927 3349 OPEN RUN FAST N o t f o r R e p r o d u c t i...

Страница 55: ...55 4442 4442 3 2 1 1 A B C D E F G H I J TransportGuard K L N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 56: ...0 5 K 4 L 5 J K 12 7 1 2 5 I 5 N M I 6 L 5 P 6 7 6 1 TransportGuard A 7 6 2 S 7 6 3 TransportGuard A 7 6 4 10 P 6 1 2 TransportGuard A 5 Z E 7 R 6 I 7 N M I 7 L 7 P 6 8 6 1 TransportGuard A 8 6 2 S 8...

Страница 57: ...ansportGuard A 11 2 S 11 3 TransportGuard A 11 4 V 11 V 2 8 25 5 H 11 TransportGuard STOP OFF RUN 6 TransportGuard O 12 F Briggs Stratton Briggs Stratton SF SG SH SJ 5 W 30 15 W 50 Vanguard SAE 30 4 4...

Страница 58: ...MPI O2S 1524 5000 85 85 AKI 89 RON Briggs Stratton 2500 762 15 1 2 A 15 C 3 16 Briggs Stratton 1 2 3 TransportGuard A 16 FAST RUN 4 B 16 5 C 16 6 D 16 7 B 16 VanguardPower com 9333 999 800 1 N o t f...

Страница 59: ...nsportGuard TransportGuard A 16 TransportGuard TransportGuard D 16 D Briggs Stratton 5 8 100 23 21 200 1 3 600 1 2 1 2 Briggs Stratton Briggs Stratton 17 A 17 B 4442 4442 N o t f o r R e p r o d u c t...

Страница 60: ...E 6 1 21 6 1 1 A 21 B 2 C 21 3 C 21 4 D 21 E 5 B 21 6 A 21 A 21 F 2 1 22 2 1 G 22 2 1 23 2 1 1 A 23 2 B 23 3 B 23 4 C 23 5 A 23 6 A 23 D 7 A 23 25 24 1 C 24 2 A 24 3 B 24 4 B 24 5 B 24 6 A 24 C 1 A 25...

Страница 61: ...0 20 010 013 35 25 004 006 15 10 005 007 20 15 12 V000 12 387 203 2 677 68 2 204 56 18 20 59 54 80W 90 21 6 1 4 12 21 6 1 10W30 23 2 1 10 30 23 2 1 030 76 180 20 010 013 35 25 004 006 15 10 005 007 20...

Страница 62: ...24 12 24 3 1 BRIGGSandSTRATTON COM Briggs Stratton 2 25 MPH 3 Vanguard 24 24 24 2017 4 BRIGGSandSTRATTON COM 1300 274 447 salesenquires briggsandstratton com au Briggs Stratton Australia Pty Ltd 1 Moo...

Страница 63: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Страница 64: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n...

Отзывы: