
13
sw
Kuchaji Betri
ONYO
Weka mbali mwako wa moto na cheche na betri; gesi
zinazokuja kutoka kwenye cheche ni zenye kulipua
vibaya.Weka kwenya hewa vizuri betri wakati wa
kuichaji.
Betri iliyokufa au ambayo ni dhaifu sana kuwasha injini
inaweza kusababisha dosari katika mfumo wa kuchaji au
kijenzi kingine cha umeme. Ikiwa kuna shaka yoyote kuhusu
sababu ya tatizo, onana na muuzaji wako. Ikiwa unahitaji
kubadilisha betri, fuata hatua za
Kisafisha Betri na Kebo
.
Ili uchaji betri, fuata maagizo yaliyotolewa na mtengeneza
chaja ya betri pamoja na tahadhari zote zilizo katika
mafungu ya sheria za usalama za kitabu hiki. Chaji betri hadi
lijae kabisa. Usichaji katika kiwango kikubwa zaidi ya ampea
10.
Kubadilisha Oili ya Injini
ONYO
Mafuta na mvuke wake yanaweza kuwaka moto
haraka sana na kulipuka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha
mabaya ya moto au kifo.
Wakati wa Kubadilisha Oili
• Ukikamua oili kutoka kwa bomba la oili la juu, lazima
tangi la mafuta liwe tupu au mafuta yanaweza kuvuja
nje na kusababisha moto au mlipuko.
1 Washa injini hadi ipate joto.
2 Weka trekta kwenye eneo tambarare (angalia Mchoro 4).
3 Zima injini.
4 Safisha vifusi vyovyote kutoka sehemu za kujaza na
kuchuka oili. Ondoa kijiti cha kupimia oili na ukiwekelee
kwenye kitambaa safi (angalia Mchoro 5).
5 Ondoa kifuniko cha kumwaga oili kama inavyoonyeshwa
katika Mchoro
10
. Mwaga
oili kwenye kontena iliyo
idhinishwa. Baada ya oili kumwagika, funga kifuniko cha
bomba la oili.
6 Ondoa kichujio cha oili (angalia Mchoro 1
1
) na ukitupe
ipasavyo.
7 Paka kiasi kidogo cha oili safi na mpya kwenye gasketi ya
kichujio cha oili.
8 Funga kichujio cja oili kwa mkono hadi gasketi iguse
adapta ya kichujio ch oili, kisha kaza kichujio cha oili kwa
mzunguko 1/2 hadi 3/4.
9 Ongeza oili (angalia
Kagua na Uongeze Oili ya Injini
).
Ukarabati wa Betri
ONYO
Wakati wa kuondoa au kuingiza kebo za betri,
tengenisha kebo ya hasi KWANZA na kisha
iunganishe tena MWISHO. Isipofanywa kwa
mpangilio huuu, temoni chanya inaweza kupata shoti
kwenye fremu na kifaa.
ONYO
Viambatanishi vya betri, vichwa vyake, na vifuasi vyake
husika vina risasi na michanganyiko ya risasi - kemikali
zinazojulikana katika Jimbo la California kusababisha
kansa, kasoro za uzazi, au madhara mingine ya
uzalishaji. Osha mikono baada ya kugusa.
Kusafisha Betri na Kebo
1 Tenganisha kebo HASI (nyeusi) kwanza.
2 Tenganisha kebo CHANYA (nyekundu) mwisho.
3 Ondoa na Ufunge betri kama ilivyoonyeshwa katika
Mchoro
9
.
4 Safisha uso wa sehemu ya betri na mchanganyiko wa
magadi ya kuumulia na maji.
5 Safisha temino za betri na ncha za kebo na brashi ya
waya na kisafisha temino za betri hadi zing'ae.
6 Paka temino zilizofungwa grisi au grisi isiyoweza
kupitisha umeme.
7 Unganisha kebo CHANYA (nyekundu) mwisho.
8 Unganisha kebo
HASI (nyeusi) kwanza.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......