
4
UENDESHAJI KWA MTEREMKO
Miteremko ni chanzo kikubwa kinachohusika na kupoteza
udhibiti na ajali za kupinduka, ambazo zinaweza
kusababisha jeraha kali au kifo. Uendeshaji katika
miteremko yote unahitaji tahadhari ya ziada. Ikiwa huweza
kuukwepa mteremko au unahisi ugumu katika mteremko
huo, usiendeshe katika mteremo huo.
Huwezi kudhibiti tena mashine inayoendeshwa ukiwa
umeikalia inapoteleza kwenye mteremko kwa kuweka breki.
Sababu kubwa za kupoteza udhibiti ni: udhaifu wa ukamataji
wa matari katika ardhi, mwendo mkali sana, ufungaji breki
usiotosha, aina ya mashine haifai kwa kazi yake, kukosa
kujua hali ya mazingira ya ardhi, ufungaji usiosahihi na
mgawanyo wa upakiaji.
1 Kata nyasi juu na chini ya miteremko, sio kutoka upande
mmoja hadi mwingine.
2 Tazama mashimo, matope, au matuta. Mandhari isiyokuwa
sawa inaweza kupendua kifaa hicho. Nyasi ndefu zinaweza
kuficha vigingi.
3 Chagua mwendo mdogo ili usilazimike kusimama au
kubadilisha mwendo wakati upo katika mteremko.
4 Usikate nyasi katika nyasi zilizo na majimaji. Magurudumu
yanaweza kupoteza nguvu ya kushikilia ardhi.
5 Daima weka kifaa katika gia haswa wakati wa kupita
kwenye miteremko. Usihamishie kwenye gia huru na
mteremko wa pwani.
6 Epuka kuanza, kusimama, au kugeuza katika mteremko.
Ikiwa matairi yanapoteza nguvu ya kukamata ardhi, toa
mabapa na endelea taratibu moja kwa moja kuelekea chini
ya mteremko.
7 Fanya harakati zote katika miteremko taratibu na kwa
mpangilio. Usifanye mabadiliko ya ghafla katika mwendo
mkali au mwelekeo, ambavyo vinaweza kuisababisha
mashine ipinduke.
8 Tumia uangalifu wa zaidi wakati wa kuendesha mashine na
vikamata nyasi au viambatanishi vingine, vinaweza kuathiri
uthabiti wa kifaa. Usitumie katika miteremko mikali.
9 Usijaribu kuiweka sawa mashine kwa kuweka mguu wako
katika ardhi (endesha katika vifaa).
10 Usikate nyasi karibu na sehemu za mishuko, mitaro, au
matuta. Mashine ya kukata nyasi inaweza kupinduka
ghafla ikiwa tairi lipo ukingoni mwa jabali au mtaro, au ikiwa
ukingo unashuka ghafla.
11 Usitumie vikamata nyasi katika miteremko mikali.
12 Usikate nyasi miteremko ikiwa huwezi kurudi nyuma yake.
13 Onana na muuzaji/msambazaji wako aliyeidhinishwa kwa
ajili ya mapendekezo ya uzito wa matairi au uziti wa vifaa ili
kuboresha uthabiti.
14 Ondoa vizuizi kama vile miamba, matawi ya miti n.k.
15 Tumia kasi ndogo. Matairi yanaweza kupoteza nguvu ya
kukamata ardhi katika miteremko hata baada ya kuwa
breki zinafanyakazi vizuri.
16 Usipige kona katika miteremko ispokua ikiwa ni lazima, na
kisha, piga kona polepole na taratibu elekea chini, ikiwa
inawezekana.
KIFAA KINACHOVURUTWA (VIFAA VYA
KUPANDA)
1 Vuta tu na mashine ambayo ina bamba lililoundwa kwa ajili
ya kuvuta. Usiambatanishe vifaa vilivyovutwa ispokuwa
katika sehemu ya kuvutia.
2 Fuata mapendekezo ya kiwandani kwa ajili ya kikomo cha
uzito kwa vifaa vilivyovutwa na kuvuta katika miteremko.
3 Kamwe usiwaruhusu watoto au watu wengine kuingia au
katika vifaa vinavyovutwa.
4 Kwenye miteremko, uzito wa kifaa kinachovutwa unaweza
kusababisha kupoteza nguvu ya kukamata ardhi na
kupoteza udhibiti.
5 Nenda polepole na uwache nafasi ya ziada kwa ajili ya
kusimama.
6 Usihamishie kwenye gia huru na mteremko wa pwani.
ONYO
Kamwe usiendeshe kwenye miteremko mikubwa zaidi
ya asilimia 17.6 (10°) ambapo ni mwinuko wa futi 3-1/2
(106 cm) kiwima katika futi 20 (607 cm) kimlalo.
Wakati wa kuendesha katika miteremko tumia uzito
wa ziada wa matairi au uzito wa viambatanishi. Onana
na muuzaji/msambazaji wako ili kuamua ni uzito gani
unapatikana na unafaa kwa kifaa chako.
Chagua kasi ndogo ya chini kabla ya kuendesha
kwenye mteremko. Kwa kuongezea katika uzito wa
mbele, chukua tahadhari kubwa wakati wa kuendesha
katika miteremko ambayo ipo karibu na vikamata nyasi
vya nyuma vilivyopandikishwa.
Kata nyasi JUU na CHINI ya mteremko, kamwe usipinde
usoni, chukua tahadhri wakati wa kubadilisha mielekeo
na USIANZE AU KUSIMAMA KATIKA MTEREMKO.
WATOTO
Ajali za kuhuzunisha zinaweza kutokea ikiwa mwendeshaji
hatahadhari kuwepo kwa watoto.Watoto mara nyingi
huvutiwa ka kifaa hicho na shughuli ya kukata nyasi. Kamwe
usidhanie kwamba watoto watabakia pale ulipowaona mara
ya mwisho.
1 Waweke watoto mbali na eneo la kukata nyasi na chini ya
uangalizi mkubwa wa mtu mzima anayewajibika.
2 Kuwa na tahadhari na zima kifaa ikiwa watoto wataingia
katika eneo.
3 Kabla na baada ya uendeshaji wa kurudi nyuma, tazama
nyuma na chini kwa ajili ya watoto wadogo.
4 Kamwe usipakie watoto, hata kama mabapa
yameondolewa. Wanaweza kuanguka na kujeruhiwa
vibaya sana au kuingiliana na uendeshaji salama wa kifaa.
Watoto ambao wamewahi kubebwa na kifaa hapo awali
huenda wakatokea kwa ghafla katika eneo la kukata nyasi
kwa kutaka kubebwa tena na wagongwe au kusukumwa
na mashine hiyo.
5 Kamwe usiwaruhusu watoto kuendesha kifaa hicho.
6 Tumia uangalifu zaidi unapokaribia kona usizoweza kuona,
vichaka, miti, au vitu vingine ambavyo vinaweza kuzuia
kuona.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......