
5
sw
HUDUMA NA MATENGENEZO
Ushughulikiaji Salama wa Petroli
1 Zima sigareti zote, sigara, kiko, na vyanzo vingine vya
mwako.
2 Tumia tu kontena zilizothibitishwa za petroli.
3 Kamwe usiondoe kifiniko cha gesi au kuongeza mafuta
wakati injini inafanyakazi. Wacha injini ipoe kabla ya
kuongeza mafuta.
4 Kamwe usijaze mafuta mashine ndani ya nyuma.
5 Kamwe usiweke kifaa au kontena ya mafuta mahali
ambapo kuna mwako wa moto wa wazi, cheche, au taa ya
kibatali au stova, au vifaa vingine vya moto.
6 Usijaze makontena ndani ya gari au katika kitanda cha gari
kubwa kwa kutumia kifaa cha plastiki cha kulazwa kwenye
gari. Daima weka makontena chini ya ardhi mbali na gari
yako kabla ya kujaza mafuta.
7 Ondoa vifaa vya gesi vilivyowashwa kwenye gari au
trela na jaza gari hilo chini ardhini. Ikiwa hii haiwezekani,
hivyo kijaze mafuta kifaa hicho kwenye trela kwa kutumia
kontena yenye kubebeka, badala ya ncha ya kimiminio cha
petroli.
8 Weka ncha igusane na ukingo wa tanki la mafuta au
kontena vikiwa wazi muda wote mpaka kujaza mafuta
kukamilike. Usitumie kifaa ncha ya kufuli ya wazi.
9 Ikiwa mafuta yamemwagikia nguo, badilisha nguo hizo
mara moja.
10 Kamwe usijaze kupita kiasi tanki la mafuta. Badilisha kizibo
cha gesi na kikaze kwa usalama.
11 Chukua tahadhari zaidi katika kushughulikia petroli na
mafuta mingine. Yanaweza kushika moto na mivuke
hulipuka.
12 Ikiwa mafuta yamemwagika, usijaribu kuwasha injini lakini
ondoa mashine mbali na eneo lililomwagika na epuka
kuunda chanzo chochote cha mwako mpaka mivuke ya
mafuta itawanyike.
13 Rudisha upya vizibo vyote vya tanki la mafuta na kontena
kwa usalama.
Huduma na Ukarabati
1 Kamwe usiendeshe kifaa katika eneo la wazi ambapo
moshi wa sumu ya kaboni monoksidi unaweza kuvutwa.
2 Weka nati na bolti, haswa bolti za kiambatanishi cha bapa,
funga na weka vifaa katika hali nzuri.
3 Kamwe usigongegonge na vifaa vya usalama. Kagua
uendeshaji wake mara kwa mara na fanya ukarabati wa
lazima ikiwa vifaa havifanyikazi vizuri.
4 Weka kifaa bila ya nyasi, majani, au mabaki mingine
yaliyojijenga. Pangusa oili au mafuta laiyomwagika na
uondoe vifusi vyovyote vyenye mafuta.Wacha mashine
ipoe kabla ya kuihifadhi.
5 Ikiwa utagonga kitu, simama na chunguza mashine.
Karabati, ikiwa ni lazima, kabla ya kuiwasha upya.
6 Kamwe usifanye ubadilishaji au ukarabati wakati mashine
inafanyakazi.
7 Kagua vijenzi vya kikamata nyasi na kizuia utendaji
mara kwa mara na badilisha na nyenzo za kiwandani
zilizopendekezwa, pale inapobidi.
8 Mabapa ya kukatia nyasi ni makali. Funga bapa au vaa
glavu, na chukua tahadhari zaidi wakati kuvihudumia.
9 Kagua utendaji wa breki mara kwa mara. Badilisha na
hudumia kama inavvyohitajika.
10 Karabati au badilisha lebo za usalama na maelekezo,
kama inavyolazimika.
11 Usiondoe kichujio cha mafuta wakati injini ipo moto kwani
petroli iliyomwagika inaweza kulipuka. Usitawanye vibanio
vya laini ya mafuta mbali zaidi ya inavyohitaika. Hakikisha
vibanio vinakamata mpira wa mafuta kwa uthabiti juu ya
kichujio baada ya usanidi.
12 Usitumie petroli ambayo ina METHANOL, gasoholi ina
ETHANOL zaidi ya asilimia 10%, nyongeza za petroli, au
gesi nyeupe kwa sababu uharibifu wa mfumo wa injini/
mafuta unaweza kusababishwa.
13 Ikiwa tanki la mafuta lazima likaushwe, litapaswa
kukaushwa nje ya nyumba.
14 Badilisha vinyamazishi/vizuia kelele vya dosari.
15 Tumia tu nyenzo mbadala za kiwandani zilizoidhinishwa
wakati wa kufanya ukarabati.
16 Daima tii maainisho ya kiwandani katika mipangilio yote na
ubadilishaji.
17 Sehemu zilizoidhinishwa tu zinapaswa kutumiwa kwa
huduma kubwa na mahitaji ya ukarabati.
18 Kamwe usijaribu kufanya ukarabati mkubwa katika kifaa
hiki ispokuwa ikiwa umefunzwa vizuri kabisa. Hatua
zisizofaa za huduma zinaweza kusababisha uendeshaji
wa hatari, uharibifu wa vifaa na kubatilisha dhamana ya
kiwanda.
19 Katika mabapa mingi ya kukata nyasi, kuwa mwangalifu
kwa sababu kuzunguka kwa bapa moja kunaweza
kusababisha mabapa mingine yazunguke.
20 Usibadilishe mipangilio ya kidhibiti injini au kuvuka mpaka
wa kasi ya injini. Kuendesha injini kwa kasi kubwa zaidi
kupita kiasi kunaweza kuongeza hatari ya mtu kujijeruhi
mwenyewe.
21 Ondoa viambatanishi vya uendeshaji, simamisha injini,
ondoa kiingiza stata, na tenganisha waya wa plagi ya
cheche kabla ya: kuondoa vikwazo vya viambatanishi
na miporomoko, kufanya kazi ya huduma, kugonga kitu,
au ikiwa kifaa kinatetemeka si kwa kawaida. Baada ya
kugonga kitu, chunguza mashine kwa uharibifu na fanya
ukarabati kabla ya kuiwasha upya na kuendesha kifaa
hicho.
22 Kamwe usiweke mikono karibu na nyenzo za kukatia nyasi,
kama vile feni ya kupoza pumpu ya haidro. (feni za kupoza
pumpu ya haidro kwa kawaida hukaa juu ya ekseli ya
kuendeshea).
23 Vifaa vyenye pampu za haidroliki, mipira, au mota:
ONYO:
Umwagikaji wa haidroliki unaokimbia chini ya
msukumo unaweza kuwa na nguvu ya kutosha kupenya
kwenye ngozi na kusababisha jeraha. Ikiwa umwagikaji
mgeni umeingia katika ngozi lazima nguzi hio iondolewe
kwa upasuaji ndani ya masaa machache na dokta ambae
ni mjuzi wa aina hii ya jeraha au uozo wa mwili unaweza
kusababishwa.Weka mwili na mikono mbali na tundu la
pini au ncha ambazo zinaingiza umwagikaji wa haidroliki
chini ya msukumo mkubwa.Tumia karatasi au kadibodi,
na sio mikono, kwa kutafutia uvujaji. Hakikisha kwamba
miunganisho yote ya umwagikaji wa haidroliki imekazwa na
mipira ya haidroliki na laini zote vipo katika hali nzuri kabla
ya kuingiza presha kwenye mfumo. Ikiwa uvujaji utatokea,
haraka sana peleka kifaa kikahudumiwe na muuza bidhaa
wako aliyeidhinishwa.
24
ONYO:
Kufungua springi vibaya kunaweza kusababisha
mtu kijijeruhi vibaya sana. Springi zinapaswa ziondolewe
na fundi aliyeidhinishwa.
25 Modeli zimetayarishwa na rejeta ya injini:
ONYO:
Kwa kuzuia kujijeruhi mwili vibaya kutokana
na kimiminiko cha moto au mlipuko wa mvuke, kamwe
usijaribu kuondoa kifiniko cha rejeta wakati injini
inafanyakazi. Simamisha injini na subiri mpaka ipoe. Hata
baada ya hapo, chukua tahadhari kubwa sana wakati wa
kuondoa kizibo.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......