
12
INJINI
Saa 5 za Kwanza
Badilisha mafuta ya injini
Kila Saa 8 au Kila Siku
Kagua kiwango cha mafuta ya injini
Kila Saa 25 au Kila Mwaka *
Safisha kichujio cha hewa ya injini na kisafishaji cha awali **
Kila Saa 50 au Kila Mwaka *
Badilisha mafuta ya injini
Badilisha kichujio cha oili
Kila Mwaka
Badilisha kichujio cha hewa
Badilisha kisafishaji cha awali
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
Chunguza kizuia kelele na kizuia cheche
Badilisha kizibo cha cheche
Badilisha kichujio cha mafuta
Safisha mfumo wa kupozea hewa
* Chochote kinachokuja kwanza
** Safisha mara nyingi zaidi katika mazingira ya vumbi au mabaki ya
yaliyorushwa yanapatika.
Kagua Upepo wa Matairi
Matairi yanapaswa kukaguliwa mara kwa mara ili kutoa
nguvu bora ya kukamata ardhi na kudhamini ukataji bora
(tazama Umbo 3).
KUMBUKA:
Ajazaji upepo huu unaweza kutofautiana
kidogo na “Kuvimba kwa Juu zaidi” kunakodhuhirika katika
kuta za upande wa matairi.
Kagua Muda wa Kusimama kwa Bapa la
Mowa
ONYO
Ikiwa ubapa wa mashine ya kukatia nyasi hakitasimama
ndani ya sekunde 5, lazima urekebishe klachi.
Usiendeshe mashine hio mpaka urekebishaji mzuri uwe
umefanywa na muuzaji aliyeidhinishwa.
Kagua utendaji wa ubapa wa mashine ya kukatia nyasi
(angalia
Majaribio ya Mfuko wa Intaloki ya Usalama
).
Ubapa unafaa kuwacha kuzunguka ndani ya sekunde 5 au
chache baada ya kusogeza kidhibiti cha ubapa upande wa
ZIMA.
Ukarabati
Chati ya Ukarabati
TREKTA NA MASHINE YA KUKATIA NYASI
Kila Saa 8 au Kila Siku
Kagua mfumo wa salama wa intaloki
Safisha mabaki kwenye trekta na deki ya mashine ya
kukatia nyasi
Safisha mabaki kwenye sehemu ya injini
Kila Saa 25 au Kila Mwaka *
Kagua upepo wa matairi
Kagua muda wa kusimama kwa bapa la mashine ya
kukata nyasi
Kagua trekta na mashine ya kukatia nyasi kwa vifaa
vilivyolegea
Kila Saa 50 au Kila Mwaka *
Kagua betri na kebo
Kagua breki za trekta
Mtembelee Muuzaji Kila Mwaka ili
Kulainisha trekta na mashine ya kukatia nyasi
Kagua mabapa ya mashine ya kukatia nyasi **
* Chochote kinachokuja kwanza
** Kagua mabapa mara nyingi zaidi katika maeneo yenye udongo wa
kichanga au hali za vumbi kali.
ONYO
Cheche zinazotokea kwa bahati mbaya zinaweza
kusababisha moto au mrusho wa stima.
Uanzaji usiokusudiwa unaweza kusababisha
tatizo, kukatwa kiungo kwa kiwewe, au
ukwaruzaji.
Kabla ya kufanya uongezaji au ukarabati:
• Tenganisha waya ya kizibo cha cheche na iweke mbali
na kizibo cha cheche.
• Tenganisha betri katika kichwa cha hasi (injini tu zenye
kianzishi cha umeme).
• Tumia zana sahihi tu.
• Usigongegonge na springi ya kidhibiti, viungo, au
viungo vingine ili kuongeza kasi ya injini.
• Viungo vya kubadilishia lazima viwe vya aina ileile na
viingizwe katika sehemu ileile kama viungo vya asili.
Viungo vingine vinaweza visifanyekazi pia, vinaweza
kuharibu kifaa, na kusababisha kujeruhiwa.
• Usigonge gurudumu tegemeo na nyundo au kitu
kigumu kwa sababu gurudumu tegemeo inaweza
kuharibika wakati wa uendeshaji.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......