
6
Alama za Usalama
Angalia Mchoro 1 (nambari A hadi E) kwa mahali na
picha za alama.
Ujumbe wote na wa maagizo ulio kwenye kijaa na mashine
ya kukatia nyasi unafaa usomwe kwa makini na ufuatwe.
Mtu kijijeruhi mwili mwenyewe kunaweza kusababishwa
ikiwa maelekezo haya hayafuatwi. Maelezo haya ni kwa ajili
ya usalama wako na ni muhimu! Alama za usalama hapo
chini zipo katika kifaa chako na mashine ya kukatia nyasi.
Ikiwa alama zozote kati ya hizi zitapotea au kuharibika,
zibadilishe mara moja. Angalia muuzaji aliyeidhinishwa kwa
mabadilisho.
Lebo hizi hubandikwa kwa urahisi na zitafanyakazi kama
ukumbusho wako wa daima wa kuona, na kwa wengine
watakao tumia kifaa, ili kufuata maelekezo ya usalama
ambayo ni lazima kwa usalama, na uendeshaji wa ufanisi.
Nambari
Ufafanuzi wa Alama
A
Alama:
Lifti ya Udhibiti na Kiambatisho
B
Alama:
Utoaji Gia
C
HATARI - Paneli Kuu
D
Hatari,
Hatari ya Vitu Vinavyorushwa
E
Hatari,
Hatari ya Kikatwa Kiungo na Vitu
Vinavyorushwa
Ikoni ya Usalama
Angalia Mchoro 1 (nambari C hadi E) kwa mahali pa
ikoni. Angalia hapa chini kwa ufafanuzi wa ikoni hizi.
1
ONYO:
Soma na uelewe Mwongozo wa Mwendeshaji
kabla ya kutumia mashine hii. Fahamu eneo na dhima za
vidhibiti vyote. Usiendeshe mashine hii ispokuwa ikiwa
umefundishwa.
2
HATARI - HATARI YA KUKOSA NGUVU YA
KUKAMATA ARDHI, KUTELEZA, KUENDESHA NA
UDHIBITI KWENYE MTEREMKO:
Ikiwa mashine
itasimama kwenda mbele au itaanza kuteleza katika
mteremko, simamisha mabapa na endesha taratibu
mwishoni mwa mteremko.
3
HATARI: HATARI YA MOTO:
Weka kifaa bila ya nyasi,
majani na mafuta ya ziada. Usiongeze mafuta wakati
injini ipo moto au inafanyakazi. Simamisha injini, ondoa
ufunguo na ruhusu ipowe kwa angalau dakika 3 kabla ya
kuongeza mafuta. Usiongeze mafuta ndani ya nyumba,
katika trela lililofunikwa, gereji au maeneo mingine
yaliyofungwa. Safisha mafuta yaliyomwagika. Usivute
sigara wakati wa kuendesha mashine hii.
4
HATARI - HATARI YA KUINAMA NA KUTELEZA:
Kata
nyasi juu na chini ya mteremko sio kutoka upande mmoja
hadi mwingine. Usiendeshe katika miteremko zaidi ya
digrii 10. Epuka kukata kona ghafla na kali (kwa kasi)
wakati ukiwa katika miteremko.
5
HATARI - HATARI YA KUKATWA VIUNGO:
Ili uepuke
majeraha kutokana na bapa zinazozunguka na nyenzo
zinazosogea, weka vifaa vya usalama (vizuizi, ngao na
swichi) tayari na viwe vinafanya kazi.
6 Usikate nyasi wakati watoto au watu wengine wapo
karibu. Usiwahi kubebea watu hasa watoto hata kama
bapa zimezimwa. Usikate nyasi kwa kurudi nyuma
ispokuwa ikiwa inahitajika. Tazama chini na nyuma –
kabla na wakati wa kurudi nyuma.
7 Taka ushauri kwa fasihi wa ufundi kabla ya kufanya
marekebisho wa kiufundi au ukarabati. Wakati unaiacha
mashine, zima injini, weka breki ya kuegesha kwenye
sehemu ya kufuli na ondoa ufunguo wa kuwashia.
8 Katia nyasi mbali na watu na watoto. Ondoa vitu
ambavyo vinaweza kurushwa na bapa. Usikate nyasi bila
njia ya kuteremshia kuwepo.
9 Usikate nyasi bila chuti ya kutoa nyasi au kikamata nyasi.
10 Ili uepuke majeraha ya bapa zinazozunguka, kaa
mbali na ukingo wa deki na ukatie nyasi mbali na watu
wengine.
Summary of Contents for SPX-100
Page 2: ...2 A 1730264 1730202 B C D E A B C D E 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 1 4 3 2 1 2...
Page 3: ...3 en 10 psi 0 68 bar 12 14 psi 0 82 0 96 bar 3 17 30 20 2 7 4 C A A B 5 D C B A 6 A B C...
Page 24: ...10 10 6...
Page 26: ...10 1 2 3 4 5 6 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 1 2 3 4 5 6 10 17 6 20 607 3 5 106...
Page 28: ...12 E C 1 1 2 3 3 4 10 5 6 7 8 9 10 E A 1 A B C D E...
Page 29: ...13 ar 2 PTO PTO PTO RMO LED PTO...
Page 30: ...5 Briggs Stratton SJ SH SG SF 40 4 30 SAE 80 27 10W 30 1 2 3 4 PTO RMO 5 16...
Page 32: ...18 1 2 3 4 5 6 7 8 9 1 2 3 4 5 6 7 1 2 3 4 5 6 7 8 RMO...
Page 34: ...20 8 25 50 5 8 25 50 4 5 5...
Page 35: ...21 ar 1 2 3 4 5 10 5 6 11 7 8 4 3 2 1 9 1 2 9 3 4 5 6 7 8 5...
Page 36: ...22 B 12 A 1 D C 2 E 3 4 5 6 7 8 13 14 180 20 2 1 4 1...
Page 37: ...23 ar 30 Briggs Stratton Briggs Stratton...
Page 38: ...26...
Page 39: ...27 ar...
Page 60: ......
Page 80: ......
Page 100: ......
Page 119: ......
Page 120: ......