Not for
Reproduction
23
sw
3. Kagua plagi ya kujaza/kiwango
(A, Picha ya 31)
kwenye
kikasha cha nyororo
(B)
kwa uharibifu. Ikiwa kuna
ishara zinazoonekana za kuchakaa au kuharibika,
badilisha na plagi mpya.
4. Ili kukagua ulainishaji katika kikasha cha nyororo, ondoa
plagi ya kujaza/kiwango na utafute ulainishaji wa mafuta
kwenye vijenzi vya ndani vya kikasha cha nyororo. Ikiwa
hakuna ulainishaji wa mafuta onaoonekana, ongeza grisi ya
gia kama inavyohitjaika.
Vitu Vinginevyo
Licha ya matengenezo ya kawaida, vijenzi vifuatavyo vya
Kiendeshi cha Injini ya Nyuma vinastahili kukaguliwa kwa makini
kama zimechakaa au kuharibika.
1. Maeneo yote ya bushi na egemeo.
2. Kagua pini zote mbili kuu za gurudumu la mbele.
3. Wenzo wa kubadilisha gia na ditenti.
4. Diski ya klachi.
5. Nira ya klachi.
6. Maeneo ya kiungo na egemeo la deki ya mashine ya kukatia
nyasi.
Badilisha sehemu zilizochakaa au kuharibika. Tumia tu vipuri
mbadala vilivyoidhinishwa kiwandani au vinavyolingana wakati wa
kufanya ukarabati.
Kuondoa Tangi la Mafuta
KUMBUKA: Kabla ya kuondoa tangi la mfuta kwenye kiendeshi
cha injini ya nyuma, sogeza kiendeshi inje mahali ambapo mivuke
inaweza kutawanyika kwa haraka.
1. Kuanzia upande wa kushoto mwa mashine, sukumu
tangi la mafuta
(A, Picha ya 32)
ikiwa wima na mbali na
mabano ya tangi la mafuta
(B)
.
2. Ukishikilia tangi la mafuta, ondoa kifuniko cha kujaza
mafuta
(C, Picha ya 32)
na umwage mafuta yoyote
yanayosalia kwenye kontena iliyoidhinishwa.
Kuhifadhi
Kumbuka: Ukitaka, Kiendeshaji Injini ya Nyuma kinaweza
kuwekwa kwenye bampa ya nyuma.
1. Safisha vizuri Kiendeshaji Injini ya Nyuma kwa kuondoa
vipande vyote vya nyasi na vifusi vyote.
2. Fanya ukarabati na ulainishaji inavyohitajika.
3. Mwaga mafuta yaliyo kwenye tangi (isipokuwa unapotumia
kudhibiti mafuta - Rejelea "Mfumo wa Mafuta").
4. Washa injini na uwache igurume hadi mafuta yaishe. Kisha
wacha kabureta na mfumo wa mafuta uwe msafi wakati wa
kuiweka.
5. Ondoa betri. Rejelea "Kuhifadhi Betri".
6. Funga tundu kwenye kifuniko cha kujaza mafuta.
7. Ukitaka, simamisha kwa makini Kiendeshi cha Injini ya
Nyuma kwenye bampa yake ya nyuma katika eneo unalotaka
la hifadhi.
Mfumo wa Mafuta
Mafuta yanaweza kuchacha ikiwa yatawekwa kwa zaidi
ya siku 30. Mafuta yaliyochacha husababisha asidi na
mabaki ya gundi kutokea katika mfumo wa mafuta au
viungo muhimu vya kabureta. Ili kuweka mafuta yakiwa
masafi, tumia
Briggs & Stratton® Fomyula Bora ya Dawa &
Kisawazisha Mafuta ya Briggs & Stratton®
, inayopatikana
mahali popote vipuri halisi vya ukarabati vinauzwa.
Kwa injini zenye kifuniko cha mafuta cha FRESH START,
®
tumia
Briggs & Stratton FRESH START®
inayopatikana katika
katriji iliyokolea yenye matone.
Hakuna haja ya kukausha petroli katika injini ikiwa kisawazisha
mafuta kimeongezwa kulingana na maelekezo. Washa injini kwa
dakika 2 kuzungusha kisawashi katika mfumo wote wa mafuta
kabla ya kukiweka.
Ikiwa petroli katika tanki haikushughulikiwa na kisawazishaji
cha mafuta, lazima imwage kwenye kontena liliyothibitishwa.
Washa injini mpaka isimame kwa kukosa mafuta. Matumizi
ya kisawazishaji cha mafuta katika kontena la kuhifadhia
kunapendekezwa ili kudumisha ubora wake.
Urekebishaji na Ukarabati wa Injini
Urekebishaji na/au ukarabati wa injini unafaa ufanywe na muuzaji
aliyeidhinishwa.
Marekebisho ya Deki ya Mashine ya Kukatia
Nyasi na Vijenzi
ONYO
USIJARIBU kusawazisha, kukarabati, au kutengeneza wakati
injini inaguruma. ZIMA injini. SIMAMISHA bapa. Weka breki
ya kuegesha. Ondoa ufunguo. Ondoa waya ya plagi kutoka
kwenye plagi na uifungilie mbali na plagi. Injini na vipengele
vyake huwa MOTO. Epuka kuchomeka vibaya, wacha sehemu
zote zipoe kabla ya kushughulikia mashine. Lazima Kifuniko
cha Kuweka Mafuta na tundu zifungwe vizuri ili kuzuia mafuta
kumwagika.
!
!
Marekebisho na ukarabati ufuatao wa mashine ya kukatia nyasi
na vijenzi yanaweza kufanywa na mmiliki. Hata hivyo, ikiwa kuna
ugumu wa kufikia marekebisho na ukarabati huu, inapendekezwa
kwamba ukarabati huu utekelezwe na muuzaji aliyeidhinishwa.
Urekebishaji wa Deki ya Mashine ya Kukatia
Nyasi (Uwasazishaji upande mmoja hadi
mwingine)
Kabla ya kufanya usawazishaji wa deki, kagua hewa ya tairi. Tairi
za mbele 15 PSI, tairi za nyuma 12 PSI. Ikiwa tairi zimejazwa
ipasavyo na bado ukataji nyasi hauko sawa, sawazisha deki ya
upande mmoja hadi mwingine.
1. Weka Kiendeshi kwenye enoe tambarare.
2. Zima injini na uondoe ufunguo. Ondoa waya ya plagu
kutoka kwa plagi na ufunge waya mbali na plagi.
3. Weka kipande cha pembe ya chuma, bomba, au kitu
kinacholingana chini katikati mwa deki ya nyuma.
4. Ondoa minyororo ya nyuma
(A, Picha ya 34)
na
uruhuhusu katikati ya nyuma ya deki kutulia kwenye
chuma.
5. Pima umbali kutoka kwa ncha za bapa hadi kwenye
sakafu. Ikiwa kipimo kiko ndani ya 1/8" kutoka upande
mmoja hadi upande mwingine, deki inazingatiwa
kuwa sawa. Ikiwa tofauti kutoka upande mmoja hadi
mwingine ni zaidi ya 1/8", endelea kusawazisha.
6. Fungua maunzi
(A, picha ya 33)
ambayo imefunga
upande wa kushoto wa pedali ya ubapa
(B)
.
Содержание 2691382-00
Страница 2: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 2 E C G H J I L F D K B A M 1 A A C B 2 A C B 3 2 ...
Страница 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Страница 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Страница 6: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 6 A 28 A 29 B A 30 B A 31 C A B 25 A 26 A 27 ...
Страница 8: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 8 A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...
Страница 51: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 es ...
Страница 73: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 fr ...
Страница 95: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 pt ...
Страница 117: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 sw ...
Страница 120: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 2 E C G H J I L F D K B A M 1 A A C B 2 A C B 3 2 ...
Страница 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 B A 4 A 5 A 6 A B 7 A 8 A B 9 A 10 A B 11 ...
Страница 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 4 A B 12 A 13 B A 14 A B 15 A B 16 A 17 ...
Страница 123: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 5 A B 20 A 21 A C B 19 C A F D B E G 23 22 C C A A D E B 23 A 24 A B C 18 ...
Страница 124: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n www snapper com 6 A 28 A 29 B A 30 B A 31 C A B 25 A 26 A 27 ...
Страница 125: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 7 A B C 32 B C A 33 D A B C X X 1 8 34 B C C A D E D E 35 A B 36 C B A 37 ...
Страница 126: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n A B 41 C A B 42 A D C B 38 A B 39 A B 40 ...
Страница 147: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 29 ar ...