Not for
Reproduction
11
11
80011059_EN Rev -
SERA YA UDHAMINI WA BIDHAA ZA BRIGGS & STRATTON
Januari 2014
UDHAMINI MDOGO
Briggs & Stratton inahakikiisha kwamba, katika kipindi cha udhamini kiilichotajwa hapo chini, itarekebisha au kubadilisha, bila malipo, sehemu yoyote iliyo na kasoro
kwenye kifaa au kazi au zote. Malipo ya usafirishaji kwa bidhaa iliyowasilishwa kwa urekebishaji au ubadilishaji katika udhamini huu lazima yashughulikiwe na
mnunuzi. Udhamini huu unafaa kwa na iko chini ya vipindi vya muda na masharti yaliyotajwa hapo chini. Kwa huduma ya udhamini, tafuta Mhudumu Aliyeidhinishwa
katika ramani yetu ya kutambua muuzaji kwenye BRIGGSandSTRATTON.COM. Mnunuzi lazima awasiliane na Mhudumu Aliyeidhinishwa, kisha awasilishe bidhaa
kwa Mhudumu Aliyeidhinishwa kwa ukaguzi na majaribio.
Hakuna udhamini mwingine wa moja kwa moja. Dhamana zilizodokezwa, ikiwemo zile za uuzaji na zilizopo kwa minajili ya lengo
fulani, zinakubalika tu
kwa kipindi cha udhamini kilichotajwa hapo chini, au katika kiwango kilichoruhusiwa na sheria
.
Hatuwajibikii uharibifu utokanao na ajali au madhara
hadi katika kiwango kilchoruhusiwa na sheria.
Majimbo au nchi zingine hazikubali vizuizi vilivyopo katika muda ambao udhamini huchukua, na majimbo au nchi
zingine hazikubali kivuo au kizuizi cha uharibifu wa ajali au madhara, kwa hivyo kizuizi na kivuo kilicho hapo chini huenda visitumike kwako. Udhamini huu unakupa
haki maalum za kisheria na pia unaweza kuwa na haki zingine zinazotofautiana kutoka jimbo moja hadi jingine au nchi moja hadi nyingine.
**
KPINDI CHA UDHAMINI
**
Katika Australia – Bidhaa zetu huja na dhamana ambazo haziwezi kutengwa chini ya Sheria ya Ununuzi ya Australia. Una haki ya ubadilishaji au marejesho ya kodi
kwa hitilafu kuu na fidia kwa hasara au uharibifu wowote ule unaoweza kutabirika. Pia una haki ya kurekebisha au kubadilisha bidhaa zisipokuwa za ubora unaokubalika
na hitalafu zilizopo si kuu. Kwa huduma ya udhamini, tafuta Mhudumu Aliyeidhinishwa aliye karibu na wewe katika ramani yetu ya kutambua muuzaji kwenye
BRIGGSandSTRATTON.COM, au kwa kupiga simu kwa 1300 274 447, au kutuma barua pepe au kuandika barua kwa [email protected], Briggs &
Stratton Australia Pty Ltd, 1 Moorebank Avenue, NSW, Australia, 2170.
Kipindi cha udhamini huanza kutoka tarehe ya ununuzi wa kwanza na mteja wa bidhaa reja reja au wa kibiashara. “Matumizi ya mteja” ina maana kuwa matumizi ya
nyumbani ya makazi ya kibinafsi na mteja wa bidhaa reja reja. “Matumizi ya kibiashara” ina maana kuwa matumizi mengine yote, ikiwemo matumizi kwa ajili ya biashara,
kuzalisha mapato, au kwa madhumuni ya kukodisha. Punde tu bidhaa imetumika kibiashara, itachukuliwa kama bidhaa ya matumizi ya kibiashara kwa madhumuni ya
udhamini huu.
Ili Kuhakikisha udhamini wa haraka na kamili, sajili bidhaa yako kwenye tovuti iliyoonyeshwa hapo juu au kwenye www.onlineproductregistration.com, au tuma barua ya kadi
ya usajili iliyojazwa (ikiwa ilitolewa), au piga simu kwa 1-800-743-4115 (Marekani).
Hifadhi risiti yako ya ushahidi wa ununuzi. Usipotoa ushahidi wa tarehe ya ununuzi wa awali wakati ambao huduma ya udhamini umeombwa, tarehe ya utengenezaji wa
bidhaa itatumika kuamua kipindi cha udhamini. Usajili wa bidhaa hauhitajiki ili upate huduma ya udhamini kwa bidhaa za Biggs & Stratton.
KUHUSU UDHAMINI WAKO
Huduma ya udhamini inapatikana kupitia Wahudumu Walioidhinishwa wa Briggs & Stratton pekee. Marekebisho mengi ya udhamini hushughulikiwa mara kwa mara, lakini wakati
mwingine maombi ya huduma ya udhamini huenda yasifae. Udhamini huu unashughulikia kasoro katika vifaa au kazi tu. Haushughulikii uharibifu uliosababishwa na matumizi
yasiyofaa au mabaya, matengenezo au urekebishaji usiofaa, kuzeeka na kuharibika kwa kawaida, au mafuta mbovu au ambayo hayajaidhinishwa.
Matumuzi Yasiyofaa na Mabaya
- Matumizi sahihi yaliyokusudiwa bidhaa hii yameelezwa katika Mwongozo wa Mtumiaji. Kutumia bidhaa kwa njia isiyoelezwa katika
Mwongozo wa Mtumiaji au kutumia bidhaa baada yake kuharibiwa hakutashughulikiwa katika udhamini huu. Udhamini hautashughulikiwa ikiwa namba tambulishi iliyo
kwenye bidhaa imeondolewa au bidhaa ile imerekebishwa au kubadilishwa katika njia yoyote ile, au ikiwa bidhaa ina ushahidi wa matumizi mabaya kama athari ya uharibifu
au uharibifu utokanao na kutu ya maji/kemikali.
Udumishaji au Urekebishaji Usiofaa
- Bidhaa hii lazima iimarishwe kulingana na taratibu na ratiba iliyo katika Mwongozo wa Mtumiaji, na ihudumiwe na irekebishwe kwa kutumia
sehemu halisi au sawa na za Briggs & Stratton.
Uharibifu uliosababishwa na ukosefu wa udumishaji au matumizi ya sehemu zisizo za kiasili haushughulikiwa na udhamini.
Kuzeeka na Kuharibika kwa Kawaida
– Kama vifaa vingi vya kiufundi, kifaa chako kitazeeka hata kikidumishwa vizuri. Udhamini huu haushughulikii marekebisho iwapo matumizi
ya kawaida yamechosha sehemu fulani ya kifaa au hicho kifaa. Vifaa vya matengenezo na vizeekavyo kama machujio, mishipi, nyembe za kukatia, na pedi za breki, (isipokuwa pedi
za breki za injini) hazishughulikiwi na udhamini kwa sababu za sifa za uzeekaji pekee, isipokuwa ikiwa sababisho linatokana na kasoro katika kifaa au kazi.
Mafuta Mbovu au Yasiyokubaliwa
- Ili ifanye kazi vizuri, bidhaa hii inahitaji mafuta safi yanayoendana na vigezo vilivyotajwa katika Mwongozo wa Mtumiaji. Uharibifu wa injini au
kifaa uliosababishwa na mafuta mbovu au matumizi ya mafuta yasiyokubaliwa (kama E15 au E85 mchanyanyiko wa ethanol ) haushughulikiwi na udhamini.
Vingine -
Udhamini huu haushughulikii uharibifu uliosababishwa na ajali, utumiaji mbaya, marekebisho, mabadiliko, huduma isiyofaa, kuganda au uzorotaji wa kemikali.
Viambatisho au vijenzi ambavyo havikuwekwa pamoja na bidhaa hapo awali pia hayashughulikiwi. Hakuna udhamini kwa kifaa kilichotumika kwa nguvu za umeme za
msingi badala ya nguvu za umeme znazosambazwa au kwa kifaa kilichotumika kwa vifaa vya kuendeleza maisha. Udhamini huu haushughulikii kifaa ama injini zilizotumika,
zilizorekebishwa, ambazo zilishatumika hapo awali au za maonyesho. Udhamini huu haushughulikii hitilafu zilizosababishwa na matendo ya Mungu au matukio ya nguvu
zisizoweza kuzuiwa zinazozidi uwezo wa mtengenezaji.
Matumizi ya Mteja
Matumizi ya Kibiashara
Miezi 12
Hakuna
Содержание 020628-00
Страница 2: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 2 BRIGGSandSTRATTON COM A G F B D H K E 1 C M N L J...
Страница 33: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 41: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 50: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 4 BRIGGSandSTRATTON COM 4 BRIGGSandSTRATTON COM 4 5 5 5 7 8 8 8 10...
Страница 79: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 119: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 143: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 191: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...
Страница 199: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 11...