Not for
Reproduction
4 BRIGGSandSTRATTON.COM
4 BRIGGSandSTRATTON.COM
Yaliyomo
Usalama na Ishara za Udhibitishaji. . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Uunganishaji . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 4
Vipengele na Vielekezi. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Maelezo ya Kina . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Usalama na Ishara za Udhibitishaji
Ishara ya usalama inaweza tumiwa kuwashiria aina ya
hatari.
ONYO
Inaashiria hatari ambayo, kama haitaepuWa,
yaweza
sababisha kifo ama majeraha makubwa.
ILANI
Inaongelea tendo lisilo ambatana na majeraha ya binafsi.
Hii mashine haijakusudiwa kutumika na watu ( hadi
watoto) waliopungukiwa na nguvu za kimwili, hisia
ama uwezo wa akili, ama waliokosa uzoefu na
umaarufu, ila Wa usimamizi na kupewa maelekezo
jinsi ya kuifanyisha kazi Wa usalama na kuelewa
hatari inayoweza tokea wakati wa matumizi.
ONYO
• Mashine hii imeundwa ili itumie sabuni
au ditajenti ya kusafishia iliyotolewa au
kupendekezwa na mtengenezaji. Utumiaji wa
sabuni/ditajenti au kemikali zingine huenda
ukaathiri pakubwa usalama wa mashine hii.
• Jeti za shinikizo la juu huenda zikawa hatari
zikitumiwa vibaya. Jeti ile haipaswi kuelekezwa
kwa watu, vifaa vitumiavyo umeme vilivyo
umemeni au mashine hii yenyewe.
• Usitumie mashine hii pahali ambapo watu wepo
isipokuwa kama wamevalia nguo za usalama.
• Usielekeze jeti kwako au kwa wengine kwa
minajili ya kusafishia nguo au viatu.
• Hatari ya kulipuka – Usifukize maji maji
yanayoshika moto.
• Vifaa vya kusafishia vinavyotumia shinikizo la
juu havipaswi kutumiwa na watoto au wasio na
uzoefu wala ujuzi wa kuvitumia.
• Mipira ya maji ya shinikizo la juu, vishikiliaji na
visitiri ni muhimu kwa usalama wa mashine
hii. Tumia mipira ya maji, vishikiliaji na visitiri
vilivyopendekezwa na mtengenezaji.
• Ili uhakikishe usalama wa mashine, tumia
vigeuzi asilia vinavyotoka kwa mtengenezaji au
kuidhinishwa na mtengenezaji.
• Maji yaliyobubujika kupitia kwenye vizuia
mabubujiko yanayorudi nyuma huchukuliwa
kuwa yasiyobebeka.
• Ondoa kizibo umemeni ili kukatiza nguvu za umeme
wakati wa kusafisha kifaa chenyewe, kukirekebisha/
kukidumisha na unapogeuza sehemu husika.
• Usitumie mashine hii ikiwa kamba ya umeme au
sehemu muhimu za mashine hii zimeharibika,
k.mf. vyombo vya usalama, mipira ya maji ya
shinikizo la juu, bunduki ya kikabaji.
• Usitumie ekstensheni kuendeshea shughuli
za kiumeme za kisafishaji hiki cha umeme
kitumiacho shinikizo.
• Daima zima swichi kuu unapoacha kushughulikia
mashine ile au wakati ambapo hauitumii.
Maelezo ya Vifaa
Soma huu mwongozo Wa makini ili uwe na ujuzi
wa mashine ya kuosha Wa presha. Jua matumizi
yake, viWazo vyake, na tahadhari unazofaa
kufuata kuepuka hatari. Ila maelekezo ya awali ya
kumbukumbu baadaye.
Hii mashini ya kuosha ya stima ya presha hufanya kazi
hadi kipeo cha 12.0Mpa (120 BAR ama 1,740 PSI (paundi
Wa inchi) Wa kiwango cha ububujikaji hadi 15.00 LPM ( lita
Wa kila dakika) (4.0 GPM ( galloni Wa kila dakika).
KIla juhudi imefanywa kuhakikisha Wamba habari katika
hii mwongozo ni shihi na ya kisasa Hata hivyo, Tunahifadhi
haki ya kubadilisha ama kuboresha hii bidhaa Wa hii hati
wakati wowote pasi ya ilani.
ILANI
Kama una swali kuhusiana na nia ya matumizi,
uliza muuzaji ama wasiliana na kituo cha huduma
kilichodhibitishwa. USIWAHI fanyisha mashine kazi kama
kuna vitengo vilivyovunjika ama kukosa, ama bila ganda
la kinga. USIPITE kifaa chochote cha usalama katika hii
mashine USIREKEBISHE mashine ya kuosha Wa presha
Wa njia yoyote HIki kifaa kimeundwa kutumika na Briggs &
Stratton sehemu zilizothibitishwa
PEKEE.
POW Teknolojia™
Briggs & Stratton’s PO teknolojia ni mfumo wa
vipengele kutenda kazi pamoja ili kuleta matokeo ya uwezo wa
mtirirko wa hali ya juu. Nguvu nyuma ya PO iko katika
pampu iliyo na sehemu mbili tofauti za mbinu ya uoshaji: presha
ya juu na mtiririko wa juu unaongeza uoashaji Wa kuwezesha
kuenea Wa umbali, kutolewa Wa sabuni na upesi wa kusuuza.
Usiwahi kuelekeza mkono wa kunyunyizia
upande wako, wa watu wengine au wanyama.
Usiwahi kunyunyizia karibu na chanzo cha
umeme au kifaa chenyewe.
Kuchomeka na
kemikali
Kugongwa
na stima
Ishara ya Tahadhari
ya Usalama
Kuanguka Vitu vinavyoruka
Kuongeza
ugiligili
Moto
Kuzima
Kuwasha
Soma
mwongozo
Maji
Yasiyobebeka