Not for
Reproduction
Yaliyomo:
Usalama wa Mwendeshaji..................................................84
Ukaguzi wa Mifumo ya Usalama ya Intaloki.....................92
Vipengele na Vidhibiti.........................................................93
Uendeshaji...........................................................................93
Udumishaji...........................................................................98
Kutatua Matatizo...............................................................101
Maelezo..............................................................................102
Hifadhi maagizo haya. Mwongozo huu una maelezo ya
usalama ili kukufahamisha kuhusu hatari zinazohusiana na
bidhaa hii na jinsi ya kuziepuka hatari hizo. Pia mwongozo una
maagizo muhimu ambayo yanafaa kufuatwa wakati wa
utayarishaji, uendeshaji, na udumishaji wa kwanza kabisa wa
bidhaa hii. Hifadhi maagizo haya asili kwa marejeleo ya siku
zijazo.
Kumbuka: Ili kupata maagizo ya kuweka, kuondoa, na
kusawazisha deki ya mashine ya kukatia nyasi (pamoja na
ubadilishaji mshipi), tazama Mwongozo wa Deki ya Mashine
ya Kukatia Nyasi litolewa pamoja na mashine hii.
Kumbuka: Maelezo ya injini yaliyo kwenye mwongozo huu
yanatumika kwenye injini za Briggs & Stratton peke yake. Ili
kupata maelezo kuhusu injini zisizo za Briggs, pitia mwongozo
wa injini uliokuja na kifaa chako.
Picha zilizo katika waraka huu ni za uwakilishi, na ni za kusaidia
maandishi ya maagizo zinazoandamana nazo. Kifaa chako
huenda kikawa tofauti na picha zinazoonyeshwa.
KUSHOTO
na
KULIA ni kama zinavyoonekana kulingana na kiti cha
mwendeshaji.
Usalama wa Mwendeshaji
Alama za Usalama na Maana Yake
Simama
Mtetemo
Sehemu
Zinazosonga
Moto
Washa / Zima
Mlipuko
Kuvutwa Nyuma
kwa Haraka
Moshi wenye
Sumu
Choki
Eneo Moto
Kemikali Hatari
Vaa Kinga ya
Macho
Oili
Polepole
Haraka
Soma Mwongozo
Hatari ya
Kukatwa Kiungo
cha Mwili
Hatari ya
Kubingirika
Sehemu ya
Kufunga Mafuta
Mafuta
Ishara ya Tahadhari ya Usalama na
Maneno ya Ishara
Ishara ya tahadhari ya usalama
inatumiwa kutambua taarifa
salama kuhusu hatari zinazoweza kusababisha jeraha la
kibinafsi. Neno la ishara (HATARI, ONYO, au TAHADHARI)
linatumika pamoja na alama ya ishara ili kuonyesha uwezekano
wa kujeruhiwa na ubaya wa jeraha hilo. Kwa kuongezea, alama
ya hatari inaweza kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
HATARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
itasababisha kifo au majeraha mabaya..
ONYO inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
inaweza kusababisha kifo au majeraha mabaya..
TAHADHARI inaonyesha hatari ambayo, ikiwa haitaepukwa,
inaweza kusababisha jeraha ndogo au wastani..
ILANI inaonyesha hali ambayo inaweza kusababisha uharibifu
kwenye bidhaa.
Onyo
Miundo ya Marekani: Moshi wa injini unaotolewa na
bidhaa hii una kemikali inayojulikana kusababisha
saratani, ulemavu wa kuzaliwa, au madhara mengine ya
uzazi katika Jimbo la California.
Onyo
Viambatanishi vya betri, vichwa vyake, na vifuasi vyake
husika vina risasi na vijenzi vya risasi, kemikali
zinazojulikana kusababisha saratani na kasoro za uzazi,
au madhara mengine ya uzazi katika Jimbo la California.
Nawa mikono baada ya kushughulikia.
84
Summary of Contents for 2691614
Page 1: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 80020391LAMI Revision D ...
Page 2: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 2 ...
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 3 ...
Page 4: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 21 22 23 24 25 4 ...
Page 121: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n ...
Page 122: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n ...