Not for
Reproduction
5
5
Ulinzi wa Kifaa Kinachochukulika cha Kukatisha Umeme
Hii mashine ya uoshaji wa presha imeimarishwa na portable
residual current device (PRCD) (Kifaa cha kukatisha umeme)
kilichotundukiwa Wa waya ya kuleta umeme. Hiki kifaaa
huwezesha ulinzi kutokana na hatari za nguvu za stima Hiki kifaa
cha kukatisha umeme (PRCD) huwezesha 10mA ya usalama.
Kujizima Moja Wa Moja
Sensa itazima mtambo wakati chombo cha kufukiza
inapofungana ama kuachalia. Kama injini itaendelea kufanya kazi
wakati chombo cha kufukiza kimeWama, USITUMIE MASHINE.
Wasiliana na mhudumu aliyedhibitishwa wa Briggs & Stratton.
ILANI
Switchi ya KUWASHA/KUZIMA inafaa kila wakati kuwa
IMEZIMWA (0) wakati mashine ya uoashaji ya presha haitumiwi.
Mzigo Kupita Kiasi Cha Mota
KIfaa cha usalama cha mzigo kupita kiasi hizima mota
moja Wa moja inapopata joto kupita kiasi ama inatoa
nguvu za umeme kupita kiasi. Kifaa kinapokosea, katiza
umeme Wa kusukuma master ON/OFF switchi upande wa
OFF (0). Ipe muda wa dakika 30 halafu bonyeza ON/OFF
Wa switchi Wa kuipeleka upande wa ON (I).
Utupaji wa Muungano wa Ulaya
Alama hii inaonyesha mmiliki wa betir na vifaa vya
kielektroniki hatatupa kifaa hiki pamoja na uchafu wa
manispaa ambao haujagawanjwa. Kifaa hiki kinafaa
kutupwa katika maeneo yanayofaa kimazingira ya
uchafu. Tafadhali wasiliana na Briggs & Stratton au mchuuzi
wako wa ndani kwa taarifa zaidi kuhusu utapaji.
Uunganishaji
Ambatisha Tubu za Tegemeza na Mpini
Umbo
1
2
1. Poromosha imarisho (
1,A
) Wa nafasi zake. LInganisha
na utie skrubu (
1,B
). Zingatia ulinganishi unapokaza.
2. Weka sehemu ya kushika (
2,A
) Wa viguzo na
ulinganishe mashimo.
3. Tia komeo za kiguzo (
2,B
) kupitia mashimo kutoka ndani ya
sehemu, ambatisha na virungu vya plastiki (
2,C
), na ukaze.
Vipengele na Dhibiti
Umbo
3
Operesheni
Unganisha Mfereji na Usambazaji wa Maji
Umbo
3 4 6
ILANI
Tumia maji baridi PEKEE (Chini ya digrii 38 C (100F)).
1. Funga bomba la presha ya juu (
3,F
) kwenye mkono (
3,A
).
2. Ambatisha mfereji wa bluu wa presha ya juu (
3,F
) Wa
inayotoa kutoka Wa mashine (
3,K
) na ukaze.
3. Thibitisha kuingia Wa maji Wa kiwambo cha kuingia
Wa maji na kipengele cha mpira cheusiImesimika na
uingiaji wa maji (
4,A
).
4. Ambatisha vipengele viwili vya pande wa uingiaji wa
maji (
4,B
) Wa mfereji wa kuingiza maji na ukaze.
ILANI
Wa utendaji sambamba, ambatisha tu Wa uletaji wa
maji usiyopita 5 GPM (18.9l) na 25-75 psi (1.72-5.17 bar)
Wa mwsho wa mashine ya uoshaji ya presha mwisho wa
mfereji.
5. Pitisha maji kupitia mfereji kusafisha vifusi.
ILANI
Matumizi ya kuzuizi cha maji kurudi katika kiingilio
cha pampu yaweza sababisha uharibifu wa pampu.
LAZIMA kuwe na 3 m (10 ft.) ya mfeleji huru kati ya
mashine ya uoshaji Wa presha upande wa kuingilia maji na
kizuizi cha maji kurudi nyuma.
ONYO!
Maji yakipitia Wa kizuizi cha maji kurudi
nyuma inachukuliwa kama yasiyo bombeka.
6. Unganisha mfeleji (
4,C
) (isipite 15 mita (50 ft.)) Wa
kuingia Wa maji (
4,B
) na ukaze.
7. WASHA maji, elekeza bunduki upande salama,
bonyeza kidude cha kufunga (
5,A
), alafu bonyeza
kidude kujaza mfumo wa mashini na hewa.
8. Ambatisha enezi Wa nozeli (
3,L
) Wa bunduki ya
kufukiza(
3,A
). Kaza Wa mkono.
9. Vuta nyuma Wa kola ya enezi ya nozeli (
7,A
), tia nozeli
ya 7-Wa-1 (
7,B
) alafu wachilia kola Hakikisha nozeli
imeshikilia Wa usalama. Ona
Nozeli ya 7-Wa-1
.
Kuanzisha mashine ya uoshaji Wa presha
Umbo
3 9
ONYO!
Fukiza yaweza kurusha nyuma ama
kutupa vitu nyuma na kusababisha majeraha
makali. Daima vaa miwani mikubwa ya kuhifadhi
macho kuzuia kurukiwa na kemikali lazima iwe imeweWa
alama ya kuzingatia sheria za ANSI Z87.1 wakati wa
matumizi ama karibu na mashine hii
.
1. Bonyeza switchi kuu ya kuwasha/ kuzima (
3,E
)
upande wa kuzima (0) upande.
ONYO!
Hatari ya kugongwa na nguvu za
umeme. Matumizi ya waya ya kuongeza yaweza
sababisha kukatizwa Wa umeme Wa ghafla ama
kuchoma na kusababisha kifo ama jeraha kali. Usitumie
waya ya kueneza na hii mashine ya kuosha Wa presha
Waya ya kueneza umeme yaweza kuwa haina jinsi ya
kukatiza umeme, ili kuzuia madhara.
2. Unganish waya ya stima Wa socketi (
3,G
) Wa mzunguko
wa stima ulioweWa haswa wa volti 220 - 240 AC katika
10 Amps iliyoweWa ikizingatiwa amri za mahali za stima.
Mzungukp huo wa stima haufai kusamabaza stima Wa
matumizi mengine ya stima Kiashiria cha kuonyeshana
kuwa kifaa cha kukatiza stima kunafaa kuwa kimewaka.
3. Bonyeza kidude cha kuseti upya (
8,C
). Kiwashiria
(
8,B
) kinafaa kuwa kimewaka.
ILANI
Kiashiria lazima kiwe kimewashwa ili mashine ya
kuosha Wa presha ifanye kazi.
4. Bonyeza kidude cha KUJARIBU (
8,A
). Kiwashiria
(
8,B
) kinafaa kuwa kimezima
5. Bonyeza kidude cha kuseti upya (
8,C
). Kiwashiria
(
8,B
) kinafaa kuwa kimewaka.
ONYO!
Hatari ya kugongwa na nguvu za umeme.
Kama kikatiza cha umeme hakifanyi kazi chaweza
kusababisha kifo ama jeraha mwilini Kama
kiashiria hakikai kikiwa kimewak baada ya kujaribu na
kuseti upya, Usitumie PRCD.
A
Bunduki ya kufukiza
G
Kamba ya stima na
kifaa cha kukatiza stima
(PRCD)
B
Nozeli ya 7-Wa-1
H
Lebo ya kitambulisho
C
Kibao cha karakana
J
Kiingilio cha maji Wa
mashine
D
Tanki ya sabuni
K
KItokeo cha presha ya juu
E
Swichi kuu ya kuwasha/
kuzima
L
Enezi ya nozeli
F
Mpira wa maji wa presha ya juu