![Briggs & Stratton 020595-03 Manual Download Page 204](http://html1.mh-extra.com/html/briggs-and-stratton/020595-03/020595-03_manual_2811509204.webp)
Not for
Reproduction
4 BRIGGSandSTRATTON.COM
4 BRIGGSandSTRATTON.COM
Yaliyomo
Usalama na Alama za kuelekeza . . . . . . . . . . . . . . . 4
Maelezo ya Vifaa . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Kuunganisha . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Vipengele na Vielekezi. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Operesheni . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 5
Udumishaji. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 8
Kuhifadhi . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 9
Utatuaji wa Matatizo . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Maelezo ya Kina . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 10
Udhamini . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 11
Usalama na Ishara za Kuelekeza
Alama ya tahadhari ya usalama inaonyesha hatari ya
majeraha inayowezekana. Ishara ya usalama inaweza
kutumika kuwakilisha aina ya hatari.
ONYO
inaonyesha
athari ambayo isipoepukwa,
inaweza
kusababisha kifo au
majeraha makubwa.
TAHADHARI
inaonyesha athari ambayo
isipoepukwa,
inaweza
kusababisha majeraha madogo au
ya wastani.
ILANI
huashiria maelezo yanayozingatiwa kuwa
muhimu, lakini hayahusiani na hatari.
Usiwahi kunyunyizia karibu na chanzo cha umeme
au kifaa chenyewe. Mashine hii haifai kutumika
na watu (wakiwemo watoto) walio na upungufu
wa kimwili, uwezo wa hisia au kiakili, au ukosefu
wa uzoefu na maarifa ila tu unaposimamiwa na
kupewa maagizo kuhusu matumizi salama ya
mashine na uelewe hatari zinazohusika.
ONYO!
• Mashine hii imeundwa ili itumie sabuni
au ditajenti ya kusafishia iliyotolewa au
kupendekezwa na mtengenezaji. Utumiaji wa
sabuni/ditajenti au kemikali zingine huenda
ukaathiri pakubwa usalama wa mashine hii.
• Jeti za shinikizo la juu huenda zikawa hatari
zikitumiwa vibaya. Jeti ile haipaswi kuelekezwa
kwa watu, vifaa vitumiavyo umeme vilivyo
umemeni au mashine hii yenyewe.
• Usitumie mashine hii pahali ambapo watu wepo
isipokuwa kama wamevalia nguo za usalama.
• Usielekeze jeti kwako au kwa wengine kwa
minajili ya kusafishia nguo au viatu.
• Hatari ya kulipuka – Usifukize maji maji
yanayoshika moto.
• Vifaa vya kusafishia vinavyotumia shinikizo la
juu havipaswi kutumiwa na watoto au wasio na
uzoefu wala ujuzi wa kuvitumia.
• Mipira ya maji ya shinikizo la juu, vishikiliaji na
visitiri ni muhimu kwa usalama wa mashine
hii. Tumia mipira ya maji, vishikiliaji na visitiri
vilivyopendekezwa na mtengenezaji.
• Ili uhakikishe usalama wa mashine, tumia
vigeuzi asilia vinavyotoka kwa mtengenezaji au
kuidhinishwa na mtengenezaji.
• Maji yaliyobubujika kupitia kwenye vizuia
mabubujiko yanayorudi nyuma huchukuliwa
kuwa yasiyobebeka.
• Usitumie mashine hii ikiwa au sehemu muhimu za
mashine hii zimeharibika, k.mf. vyombo vya usalama,
mipira ya maji ya shinikizo la juu, bunduki ya kikabaji.
• Pasipo na ufunguo wa kuwashia au betri,
ukatizaji unaweza kufanywa kwa njia nyingine
sawa na zile.
• Usitumie mashine zilizowezeshwa na injini
ya mwako ndani ya nyumba isipokuwa kama
uingizaji hewa wa kutosha umechunguzwa na
mamlaka za kazi za kitaifa.
• Usitumie mashine zilizowezeshwa na injini
ya mwako ndani ya nyumba isipokuwa kama
uingizaji hewa wa kutosha umechunguzwa na
mamlaka za kazi za kitaifa.
• Hakikisha kuwa uchafu wowote wa ekzosi
haupo kwenye maeneo ya upumuaji hewa.
• Mafuta/Fueli isiyokubalika haifai kutumiwa kwa
sababu huenda ziwe hatari sana.
• Wenzo wa udhibiti ukabaji unapaswa kuwa
katika hali ya STOP( ) au KIKOMO wakati
wa uoshaji au udumishaji/marekebisho na
unapobadilisha sehemu.
Maji
Yasiyobebeka
Kuungua kwa
Kemikali
Sehemu
Moto
Sehemu
Songevu
Vitu
Vinavyoruka
Kurushwa
Kuingiza kwa Mafuta
Haraka
Ishara ya
Tahadhari ya
Usalama
Sakama
Endesha
Mafuta
Hayaingii
Usiwashe Injini
!
Uso wa Moto
Mlipuko
Moshi wenye
Sumu
Washa
Zima
Kurudi nyuma
Mwongozo wa
Maelekezo
Mishtuko ya
Kielektriki
Moto
Mafuta
Yanaingia
Polepole
Kagua Kiwango
cha Mafuta
Usiwahi kuelekeza mkono wa kunyunyizia
upande wako, wa watu wengine au wanyama.