
OR
Fan turns on after few minutes of fire, shown by
orange light
Shabiki huwaka baada ya dakika chache za moto na
huonyesha kwa mwanga wa rangi ya machungwa.
FAN
3
Unfold and insert rack,
place small fuel and
small wood inside stove
Funua na ingiza rack,
wekelea kiasi kidogo
cha mafuta na mbao
ndani ya jiko.
Insert small pieces
of wood in top
before lighting
Ingiza vipande
vidogo vya mbao
juu ya jiko kabla ya
kuwasha moto.
Add larger wood to make a larger fire
Ongeza mbao kubwa ili moto uwe mkubwa.
BUILDING THE FIRE
2
Fan reduces smoke
Shabiki hupunguza
moshi
Charging turns on after a few minutes of
fire, shown by green light
Wakati betri inapopata nishati inawasha
moto kwa dakika chache na huonyeshwa
kwa mwangaza wa kijani kibichi
CHARGING
4
Plug USB device into
PowerPack
Kuziba kifaa cha USB
katoka Pakiti Nguvu
LIGHTING THE FIRE
Fuel: Wood, crop
waste, dung
No charcoal
Mafuta: Mbao, taka
mazao, samadi
Hakuna makaa
KUUWASHA MOTO //
KUUJENGA MOTO //
SHABIKI //
KUWEKA BETRI NISHATI //
1
To prevent flame coming out of stove front:
Push fuel in stove, use less fuel, or remove ash
Ili kuzuia moto kutokea kwenye upande wa
mbele wa jiko: shinikiza mafuta kwa jiko,
tumia mafuta kidogo na kuondoa majivu
Use fuel rack for a stronger fire and less smoke
Tumia rack ya mafuta ili kupata moto
wenye nguvu na moshi kidogo.
Stove body becomes hot!
Kiwiliwili cha jiko huwa moto.
Remove ash when
stove is full
Ondoa majivu wakati
jiko limejaa
No liquid inside PowerPack
Hakuna kioevu ndani ya Pakiti Nguvu
Do not open stove, for repair call
local service or sales agent
Usifungue jiko, unapotaka
kukarabati piga simu kwa huduma
za mitaa ama wakala wa mauzo.
FIRE MAINTENANCE
USAGE TIP
WARNING
STOVE MAINTENANCE
MATENGENEZO YA MOTO //
MATENGENEZO YA JIKO //
MBINU ZA MATUMIZI //
MBINU ZA MATUMIZI //
Use handles to move stove
Tumia kishikio ili kulisongesha jiko