Not for
Reproduction
43
Ishara za Kudhibiti Injini na Maana
Kasi ya injini - HARAKA
Kasi ya injini - POLEPOLE
Kasi ya injini - SIMAMA
WASHA - ZIMA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGWA
Kuwasha injini - Choki
IMEFUNGULIWA
Kifuniko cha Mafuta
Kizima fueli -
KILICHOFUNGULIWA
Kizima fueli -
KILICHOFUNGW
Kiwango cha mafuta -
Upeo
Usijaze kupita kiasi
Uendeshaji
Mapendekezo ya Oili
Kiwango cha Oili:
Tazama sehenmu ya
Vipimo
.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila oili. Watengenezaji au wauzaji vifaa
huenda waliongeza mafuta kwenyeinjini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha oili na uongeze oili kulingana na maagizo
kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika hadi kushindwa
kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Tunapendekeza matumizi ya oili Zilizoidhinishwa na Hakikisho la Briggs & Stratton
®
ili
kupata utendakazi bora. Oili nyingine za usafishaji zinakubalika ikiwa zimebainishwa
kwa huduma ya SF, SG, SH, SJ au ya juu zaidi. Usitumie vitegemezi maalum.
Hali joto ya nje inabainisha mnato sahihi wa oili kwa injini. Tumia chati kuchagua mnato
bora zaidi kwa hali joto ya nje inayotarajiwa. Injini katika vifaa vingi vya nje zinafanya
kazi vyema zikitumia oili ya 5W-30 Synthetic. Kwa vifaa vinavyoendeshwa katika joto la
juu, oili ya Vanguard
®
15W-50 Synthetic inatoa ulindaji bora.
A
SAE 30 -
Chini ya 40 °F (4 °C) matumizi ya SAE 30 yatasababisha ugumu wa
kuwasha.
B
10W-30 -
Juu ya 80 °F (27 °C) matumizi ya 10W-30 yanaweza kusababisha
ongezeko la matumizi ya oili. Kagua kiwango cha oili mara nyingi zaidi.
C
5W-30
D
Sinthetiki 5W-30
E
Vanguard
®
Synthetic 15W-50
Angalia au Ongeza Oili
Tazama Kielelezo: 6
Kabla ya kukagua au kuongeza mafuta
• Hakikisha kuwa mtambo uko katika kiwango.
• Safisha eneo la kujaza mafuta kutokana na uchafu wowote.
• Tazama
Vipimo Maalum
sehemu ya uwezo wa mafuta.
Notisi
Injini hii ililetwa kutoka Briggs & Stratton bila mafuta. Watengenezaji au wauzaji
kifaa huenda waliongeza mafuta kwenye injini. Kabla ya kuwasha injini kwa mara ya
kwanza, hakikisha umekagua kiwango cha mafuta na umeongeza mafuta kulingana
na maagizo kwenye mwongozo huu. Iwapo utawasha injini bila mafuta, itaharibika
hadi kushindwa kukarabatiwa na hutafidiwa chini ya udhamini huu.
Kagua Kiwango cha Mafuta
1.
Ondoa kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6) na upanguse kwa
kitambaa safi.
2.
Sakinisha na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6).
3.
Ondoa kifaa cha kupima mafuta na ukague kiwango cha mafuta. Kiwango sahihi
cha mafuta kiko juu ya kiashiria kilichojaa (B, Kielelezo 6) kwenye kifaa cha
kupimia kiwango cha mafuta.
Ongeza Mafuta
1.
Iwapo kiwango cha mafuta kiko chini, ongeza mafuta kwenye eneo la mafuta la
injini taratibu (C, Kielelezo 6).
Usijaze kupita kiasi.
Baada ya kuongeza mafuta,
subiri dakika moja na kisha uangalie kiwango cha mafuta.
2.
Sakinisha upya na ukaze kifaa cha kuangalia kiwango cha mafuta (A, Kielelezo 6).
Mapendekezo ya Mafuta
Mafuta ni lazima yatimize mahitaji haya:
• Petroli safi, freshi, isiyo na risasi (unleaded).
• Kiwango cha chini zaidi cha okteni 87/AKI 87 (91 RON). Matumizi katika mwinuko
wa juu, tazama hapa chini.
• Petroli iliyo na hadi ethanoli 10% (gasoholi) inakubalika.
Notisi
Usitumie petroli ambayo haijaidhinishwa, kama vile E15 na E85.
Usichanganye oili kwenye petroli au kurekebisha injini ili itumie mafuta mbadala.
Utumizi wa mafuta ambayo hayajaidhinishwa utaharibu vipengele vya injini, jambo
ambalo halijasimamiwa na hakikisho.
Ili kulinda mfumo wa mafuta kutokana na utengenezaji wa gundi, changanya kiimarishaji
mafuta ndani ya mafuta. Tazama
Uhifadhi.
Mafuta yote sio sawia. Iwapo matatizo
ya kuwasha au utendakazi yatatokea, badilisha unakonunua mafuta au ubadilishe
aina. Injini hii imeidhinishwa kuendeshwa kutumia petroli. Mfumo wa kudhibiti mafukizo
wa injini za kabureta ni EM (Engine Modifications (Marekebisho ya Injini)). Mifumo ya
kudhibiti mafukizo kwa injini zilizo na unyonyaji mafuta kielektroniki ni ECM (Engine
Control Module (Moduli ya Kidhibiti Injini)), MPI (Multi Port Injection (Unyonyaji kwa
Matundu Kadhaa)) na ikiwa ina O2S (Oxygen Sensor (Sensa ya Oksijeni)).
Mwinuko wa Juu
Katika mwinuko wa zaidi ya futi 5,000 (mita1524), kiwango cha chini cha okteni 85 /85
AKI (89 RON) petroli inakubaliwa.
Kwa injini iliyo na kabureta, marekebisho ya mwinuko wa juu yanahitajika ili kudumisha
utendakazi. Oparesheni bila marekebisho unaweza kusababisha kupunguka kwa
utendakazi, matumizi ya fueli yalioongezeka, na uchafuzi ulioongezeka. Wasiliana na
Mtoa Huduma wa Briggs & Stratton Aliyeidhibishwa kwa maelezo ya marekebisho ya
mwinuko wa juu. Oparesheni wa injini katika mwinuko wa chini ya futi 2,500 (mita 762)
na marekebisho ya mwinuko wa juu hayapendekezwi.
Kwa injini za Uinjizaji wa Fueli wa Kielektriki (EFI), hakuna marekebisho ya mwinuko wa
juu yanahitajika.
Ongeza Mafuta
Tazama Kielelezo: 7
Onyo
Mafuta pamoja na mvuke wake unaweza kuwaka moto na kulipuka kwa haraka.
Moto au mlipuko unaweza kusababisha majeraha mabaya ya kuchomeka au
kifo.
Wakati wa kuongeza mafuta
• Zima injini na uwache injini ipoe kwa angalau dakika 2 kabla ya kuondoa kifuniko
cha mafuta.
• Jaza tangi la mafuta nje au katika eneo lenye hewa nyingi safi.
Summary of Contents for 093J00
Page 2: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 2 BRIGGSandSTRATTON com 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 ...
Page 3: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 3 11 12 13 14 15 16 17 18 19 20 ...
Page 40: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 40 BRIGGSandSTRATTON com 80004537 Rev F ...
Page 49: ...N o t f o r R e p r o d u c t i o n 49 80004537 Rev F ...