Not for
Reproduction
8 BRIGGSandSTRATTON.COM
Tatizo
Sababisho
Sahihisho
Injini inajiendesha lakini
hakuna mapato ya AC yaliyopo.
1. Moja ya vifaa vya kukata umeme iko wazi.
2. Muunganisho mbaya au kamba iliyo na
shida.
3. Kifaa ambacho kimeunganisha
kimeharibia.
1. Anzisha mzunguko wa mawimbi.
2. Angalia kisha ukarabati.
3. Unganisha kifaa kingine ambacho kiko
katika hali nzuri.
Injini inajiendesha vizuri bila
vifaa vingi “lakini inafifia”
mara tu vifaa hivyo vingine
vinapounganishwa.
1. Jenereta ina uzito ambao haiwezi kuhimili.
1. Ondoa vyombo vingine kwenye
jenereta.
Injini ambayo haianzi; inaanza
na kuendelea vibaya na hata
kuzimika wakati inajiendesha.
1. Swichi ya injini kuwekwa kwa sehemu ya
OFF (0).
2. Valvu ya mafuta ikiwa kwenye sehemu ya
OFF (0)
3. Kiwango ya chini ya mafuta.
4. Mafuta yameisha.
5. Waya ya spaki plagi haikuwa
imeshikanishwana spaki plagi yenyewe.
6. Imefurika na mafuta.
1. Weka swichi kwa sehemu ya ON (I) .
2. Weka valvu ya mafuta kwa nafasi ya
ON (I).
3. Jaza Krankkesi hadi kiwango sahihi au
weka jenereta kwenye eneo tambarare.
4. Jaza tenki ya mafuta.
5. Unganisha waya na spaki plagi.
6. Subiri dakika 5 na washa injini tena.
Kwa masuala mengine yote, mwone muuzaji wa Briggs & Stratton.
Utatuzi
Vipengele Maalum
Modeli 1200A
Nguvu* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 900
Wati za Kuanza** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 1,125
AC Volteji at 230 Volts . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 3.9 Amps
Mizunguko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 50 Hz at 3600 rpm
Awamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awamu ya Kwanza
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . . 79.8 cc (4.87 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . .milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiasi cha mafuta . . . . . 5.7 Lita (1.5 Galoni za Marekani)
Kiasi cha mafuta . . . . . . . . . . . . . . .0.35 Lita (11.8 aunzi)
Modeli 2200A
Nguvu* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 1,700
Wati za Kuanza** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 2,125
AC Volteji at 230 Volts . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 7.4 Amps
Mizunguko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 50 Hz at 3600 rpm
Awamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awamu ya Kwanza
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . .196 cc (11.96 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . .milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiasi cha mafuta . . . . . .11.4 Lita (3 Galoni za Marekani)
Kiasi ya Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.6 (aunzi 20)
Modeli 3200A
Nguvu* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 2,500
Wati za Kuanza** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 3,125
AC Volteji kwa 230 Volti . . . . . . . . . . . . . . . . . 10.9 Amps
Mizunguko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 50 Hz at 3600 rpm
Awamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awamu ya Kwanza
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . .196 cc (11.96 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . .milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiasi cha mafuta . . . . . .11.4 Lita (3 Galoni za Marekani)
Kiasi ya Mafuta. . . . . . . . . . . . . . . . . . . . lita 0.6 (aunzi 20)
Modeli 6200A
Nguvu* . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 4,900
Wati za Kuanza** . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Wati 6,125
AC Volteji kwa 230 Volti . . . . . . . . . . . . . . . . . 21.3 Amps
Mizunguko . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . 50 Hz at 3600 rpm
Awamu . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Awamu ya Kwanza
Nguvu ya kusongeza . . . . . . . . . . . .389 cc (23.73 cu. in.)
Pengo ya Spaki Plagi . . . . . . . . .milimita 0.76 (0.030 in.)
Kiasi cha Mafuta . . . . . .18.9 Lita (5 Galoni za Marekani)
Kiwango cha Mafuta . . . . . . . . . . lita 1.1 liters (Aunsi 37)
Upimaji Wa Nguvu Ya Stima:
Upimaji wa jumla wa umeme kwa modeli za injini za mafuta umewekwa lebo kulingana na SAE
(Chama cha Waandisi wa Magari) msimbo J1940 nguvu za umeme za injini ndogo & utaratibu wa upimaji wa Torque na umepimwa
kulingana na SAE J1349. Idadi ya thamani ya mizunguko kwa kila dakika ya 3600 RPM Inatoka na kuwekwa kwa kichaa cha kutolea
na kile cha kusafisha hewa. Tukitazama mseto mpana wa bidhaa ambazo injini zinatumika, injini ya mafuta (gasoline) huenda isiunde
na kufikia jumla ya nguvu za umeme wakati inapotumiwa katika kifaa fulani cha mtambo wa umeme. Tofauti ni kwa sababu mbalimbali
pamoja na mapungufu ya utendaji kazi, hali za kawaida za uendeshaji (hali ya hewa, unyevu, urefu) na hali mbalimbali za injini kwa
injini. Kutokana na upungufu wa utengenezaji, Briggs & Stratton inaweza kusawazisha injini iliyo na nguvu za juu zaidi kwa injini hii.
* Jenereta kwa kila EN ISO 8528-13:2016, Vyombo vya kijenereta vinavyoendeshwa kwa mtambo ambavyo vinahusisha utoaji nguvu
za umeme kindani unaoenda mbele na nyuma - Sehemu ya 13: Usalama.
** Kulingana na Briggs & Stratton 628K, Watts za Kuwashia zinawakilisha nguvu za kiumeme za saa hiyo hiyo ambazo jenereta ile
inaweza kutoa ili kuwashia injini za umeme. Watts za Kuwashia haziwakilishi nguvu zinazohitajika kuendelea kuendeshea kazi za
kiumeme. Watts za Kuwashia ndizo nguvu nyingi zaidi zinazoweza kusambazwa saa hiyo hiyo unapowasha injini, zikipigwa mara
na volteji iliyopimwa ya jenereta.
Vipuri vya Kawaida vya Huduma
Chupa ya mafuta ya injini . . . . . . . .100005E or 100007E
Chupa bandia ya mafuta . . . . . . . . . . . . . . . . . . 100007W
Kiimarishaji cha Mafuta . . . . . . . . . . .992380 au 992381
Kwa orodha kamili ya vipuri na michoro tafadhali tembelea tovuti BRIGGSandSTRATTON.COM.